Used Laptops inauzwa,
Dell Latitude D610 - Intel Pentium M processor 1.6GHZ-1.86GHZ, 1GB RAM, 40GB Hard drive, DVD/CDRW, Wireless Internet. . Bei 420,000/-
Dell Latitude D620 - Intel Core 2...
Wakuu.
Nimezunguka kwenye ofisi za ZAIN/Airtel Arusha kwa siku kadha sasa kila nikiulizia moderm zao za internet, lkn kila safari wanasema zitakuja wiki ijayo,bila mafanikio.
Lkn baadhi ya watu...
Katika maisha haya tunayoelekea ya kupambana kurudisha heshma ya nchi! Nawakumbuka wapiganaji fulani tukiwa Tumainin Sekondari Kinampnda. !Hawa walikuwa ni watundu katkka kupinga mambo maovu ya...
Wana Jf kama kuna mtu anatafuta mfanyakazi wa Radio&Tv naombeni msaada wenu! Nina vipindi vingi sana vya redio na Tv vilivyobase sana kwenye business na kwamba tunaweza kufanya mambo mazuri...
Kama kuna mchungaji wa church fulani hapa ndani naomba tuwasiliane naomba kuleta semina na mkutano wa pasaka kwenye kanisa lake mwaka huu! Please dont take easy strong message recommended by God...
TANGAZO LA KIFO
Innaa Lillah Wa innaa ilayhi raajiun
Tumepata taarifa kuwa ndugu yetu Muhammad Faraj wa UAE mwenye www.mawaidha.info ambaye pia alikuwa member wa alnoorcet mailinglist amerejea...
Wakubwa, kuna mtu anajua sehemu specialized ambapo naweza kupata seedlings za maua? Kuna maua fulani ninayo yatafuta, nina jina lake scientific na nikiliona nitalijua ila sijaliona barabarani...
HP G60 535DX notebook
pentium(R) Duo-core cpu t4300
speed 2.10Ghz
RAM 3Gb
320GB of hard disk
sytem type:64-bit operating system
inbult webcam
inbuilt bluetooth
Intel graphics media...
Lipo Km.5 kutoka Bagamoyo mjini, na km 2.5 kutoka barabarani upande wa kushoto ukiwa unatoka Dar es Salaam. Mazao ya kudumu: Miembe na Mikorosho. Kuna Nyumba ya Mlinzi ya chumba kimoja. Ni eneo...
mimi kwa jina Naitwa Arnold Kavishe, nimehitimu International Diploma in Computer Engineering, katika chuo cha New Horizons. ningependa kupata kazi ya IT TECHNICIAN!
naomba msaada wako tafadhali!
Dolphin Sea and Air (T) Ltd is a privately owned customs clearing and freight forwarding agent, which was founded in 2005 and based in Dar es Salaam.Dolphin offers a full compliment of services...
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Vodacom Tanzania, imezindua simu maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa macho na matatizo ya kusikia zitakazoweza kuwasaidia kutumia simu hizo.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.