Nyumba ipo Mbezi beach, Ni nyumba kubwa double storey, ina na servant quarter,
Ni Full furnished, ina standby generator, ina internet cables
Inafaa kwa Office cum residential au residential peke...
wadau, wana JF,
Naomba yeyote anayefahamu watu wazuri na wenye gharama nafuu kwa uchoraji/design ramani za nyumba kwa ajili ya kuishi/makazi tafadhali anisaidie.
Naamini wengine wapo humu jf...
Nauza pajero IO au wengi mwaifahamu kama GDI nyeupe ya mwaka 1999 ina km 110,000 kama unahitaji nitumie email kwa lushe2010@yahoo.com kwa picha na maelekezo zaidi.
Karibu, MF.
kama kuna mdau mwenye kujua kufahamu duka /mahali/mtu ambapo naweza kununua used laptop yenye kiwango cha kuridhisha isiyozidi tshs 500,000/ tafadhali anitonye au anielekeze pa kuipata, nina dogo...
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .
Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao ...
Model: Mark II GR
Year: 1992
Km 197,000
Price: 3.8 M (Milioni tatu laki nane)
Ipo katika hali nzuri sana.
NB: Mnunuzi aliye serious ani-pm kwa ajili ya picha na details zingine atakazohitaji.
Jaji Mstaafu Dan Mapigano amefariki Dunia tarehe 15 januari 2011 katika hospitali ya Aga Khan ambako alikuwa amelazwa baada ya kupata stroke.
Maziko yanategemewa kuwa tarehe 19 Januari makaburi...
Hii nimeiona mahali nikaona ni vema kuiweka hapa.
Kwa heshima na taadhima, naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology kwa ngazi yoyote, iwe ni Tanzania au nje ya nchi bila kujali ni mwaka...
One storey building to let located just opposite to Mlimani City (100metres from University of Dar es Salaam Road) has one master bedroom, 2 rooms self contain, sitting room, dining hall, kitchen...
Salaam JF,
Nauza gari aina ya corolla 110. Gari ipo kwenye hali nzuri, ni AC tu ndio haifanyi kazi.
Transmission - Automatic
Fuel - Petrol
Eng - 14090cc
Bei - 6M (maelewano yapo)
Kwa...
Nina kijana wa ndugu yangu wazazi wake wote walifariki. sasa amefaulu kuingia form one shule za kata kijijini. nilitaka kumsaidia apate shule ya boarding ya serikali ili aweze kusoma vizuri...
3 bedrooms, nice garden,
big compound of about 1800sqm,
beautiful lounge and dinning area, servants quarters. Rent is $ 1,500 per month. You are free to pay rent starting from three months...
Huyu dada tulipata kusoma naye, Ukwamani Shule ya Msingi huko Gairo.
Baadaye yeye alijiunga na Kilakala Girls nami nikaenda Tanga Tech School.
Wakati tukiwa Shule enzi hizo alikuwa anatumia...
We sell E-Books and E-Magazines in PDF format for ease of access and convenience. From Economist, Business Week, Time Magazine, to Harvard Business Review, GQ, Maxim, FHM and World Soccer...
Jamani kwa mgao huu wa umeme ndugu yangu anahitaji fundi wa umeme wa jenereta ili aweze kucheck jenereta yake na kui-connect kwa nyumba yake (Sinza). Ni jenereta y amatumizi ya nyumbani...
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.