Wana JF naomba mnisaidie simu aina gani ninunue hata kama bei ni kubwa lakini iwe na scientific calculator, naihitajia kwa kazi zangu......msaada wenu please
Yeyote mwenye uelewa na Massachusetts nearby Framingham (zip code 017101) .
Ningependa kujua hotel karibu na eneo hili ,niona baadhi ila wenyeji wanaweza kujua bora zaidi na for good deal...
We are a new company specialising in Solar Lighting Solutions in Tanzania.
We stock a range of plug and play solar products
Our products:
JUA TAA 5W
5W Poly crystalline Solar Panel (Made...
JE UMEHANGAIKA KUPATA WATAALAM WALIOBOBEA
TUNATENGENEZA DOCUMENTARY,
VIPINDI VYA RADIO NA TV,
VIDEO ZA MIZIKI YA KIZAZI KIPYA NA NYIMBO ZA DINI,
TUNATENGENEZA FILAM
TUKO MAENEO YA KIWALANI...
Tunapenda kuwajulisha kwamba kutakuwa na ziara ya kukutana na aliyekuwa Mgombea wa Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA DR W P SLAA...
Ninauza Kiwanja Kipo Madale karibu na Kwa Marehemu Kawawa ni robo heca hakijapimwa hakuna dalali kinafikika kwa usafiri wowote bei milioni 5.5 hakuna dalali mimi ndo mmiliki na atakayewahi awe ni...
Eid-Mubarak
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar,
Laa ilaaha illallahu Wallahu Akbar, Kabira Allahu Akbar, Wa lillahil Hamd
Wishing you and your family a Happy and peaceful Iydul-...
Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara...
appartment ya two bed room,sitting room,kitchen na toilet inapangishwa ipo maganga estate veternary area,formely tazara flats.bei inaanzia 180,000 per month
call 0715791130 mr kazmir
Imesajiliwa tarehe 22/07/2010, silver, 2001, St 21 3s petrol, 83226 km, automatic,
Bei 7.5mil kwa maelezo zaidi au kuiona au maelewano piga simu 0717114409 au 0755312233
Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara...
Nipo bunju vikawe ili kupata specification ya viwanja nilivoeleza asubuhi leo. Kuna viwanja vingi ila nilivyothibitisha ni hivi. 44x25 sh 1500000, 39x25 sh 800000, 39x21 sh 800000, 33x32 sh...
Kwa wale wenyeji wa Tabora na zaidi kwa wilaya ya Urambo na waumini wa kanisa la Moravian Church jimbo la Magharibi, nasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji Samuel Silanda Sambali kilichotokea...
Habari wana jamii
Nauza gari aina ya toyota Ipsum tourer 1999, nimeitumia kwa muda wa miezi 11 toka niiagize japan, imetembea km 150,000 ipo ktk hali nzuri sana, bei 12Mil
serious buyers contact...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.