Habari JF,
Promotion kabambe ya Crank Box inaendelea.
Crank Box ni jenereta ya ndogo mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 aina ya LED.
Faida zake ni nyingi.
Haitumii mafuta ya...
WWW.UADILIFU.BLOGSPOT.COM
Wakati natafuta tafuta Blog za Kudumisha maadili nimekutana na hii blogu Mpya www.uadilifu.blogspot.com Imenivutia kwa makala zake zenye nia ya kujenga kizazi chema...
Fanya kazi mahali popote, kuwa mjasiliamali wa Kimataifa na Umiliki maisha yako mwenyewe, bila kuacha kazi au shughuli yako ya sasa! Tunatoa mafunzo, tutakusaidia na kukuongoza kufikia malengo...
FREMU YA BIASAHRA INAPANGISHWA
IPO ENEO LA CHANGOME KATIKATI YA MADUKA MAWILI NA KITUO CHA BASI CHA BORA.
INAFAA KWA OFISI, DUKA LA VIPODOZI, DUKA LA CHAKULA, DUKA LA VIFAA VYA UJENZI /NK.
BEI YA...
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo Magomeni Kagera -DSM
ina vyumba 9,Inafaa kuwa Hosteli, Guest,Godown,Kuishi 3 Familia,Kiwanda Kidogo cha Printing,Kusaga na Kupaki Nafaka Etc.
Mita 100 kutoka...
Tunatengeneza milango ya aina mbali mbali kwa kutumia mninga mkongo na mvule bei zinatofautiana kulingana na aina ya mlango bei zina range Tsh 250,000-300,000 kwa mlango mmoja.finishing yetu ni...
Natarajia kusafiri kwenda ughaibuni kwa miezi 3 hivi, nahitaji insurance kunicover kwa muda huo.
Mwenye kujua naomba anisaidie wapi naweza kupata travel insurance.
Watumiaji wa email kupitia http://www.hotmail.com, kuna watu matapeli ambao wanatuma jumbe za kukutaadharisha kuwa kuna matatizo katika anuani pepe yako na wanakutaka utume maelezo yako binafsi...
Nilikuwa safarini Tabora kwa ajili ya kupiga kura. Ni uchaguzi pekee nilioshiriki tangu mwaka 1995 ambapo kura yangu nilimpigia Mrema pale Ubungo; mwaka huu nimempigia Slaa. Kama ambavyo mwaka...
Wana JF ninahitaji kupata External Hard drive 320GB au 500GB. Mwenye access nayo naomba anijulishe nitaipataje na kwa bei gani.
Location yangu kwa sasa ni Dar es salaam.
ninauza kiwanja madale kwa karibu na kwa kawawa kimezungushiwa michongoma ukubwa ni robo heka na kinafikika kiko tambarare bei ni milioni 5.5 na hakuna dalali mimi ndo mmiliki nauza ili nipate ada...
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho
ina vyumba vitatu, choo, bafu, sitting room, dinning room, kitchen na ina eneo kubwa sana kuweza kujenga hata nyumba nyingine.
Mita 500 kutoka...
Wanajamii nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge, kijitonyama au kinondoni. Kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173 au 0757818564
Roller compactor 3000kg (3TONNES) Bomag
JCB beaver
concrete mixture Lister Peter
Plate compactor of different sizes(Honda & Robin)
Upright rammer
used in uk
see attachments
for...
Kama kuna mtu anauza gari aina ya Corolla 110 au ana jamaa anayeuza hiyo gari tafadhali tuwasiliane. Tafadhali nitumie pm hapa hapa au nipatie namba yako kisha tuzungumze biashara. Hii ni kwa...
habari wana JF? naomba mwenye kufahamu ni chuo gani au mtu gani naweza kwenda na kujifunza kupiga kinanda? imekuwa interest yangu mda mrefu but sijui wapi ntapata. pia ningefurahi kama utanitajia...
Salamu kwenu wakazi na wafanya biashara wa Mbeya..
Je unasumbuliwa na vifaa vyako ofisini kama vile Computer, photocopier, printer na kadhalika..
Wasiliana nasi sasa kwa huduma zifuataza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.