IMPORTED FROM JAPAN AUGUST 2009
MILEAGE:65100KMS
ENG SIZE:1490CC
COLOR:SILVER(METALLIC)
DRIVERN BY A LADY
NO ACCIDENT
PRICE 8M(negotiable)
*PICTURES WILL FOLLOW SOON
Reason For Selling...
Habari wakuu,
Nipo Kuala Lumpur, Malaysia. Nitakua hapa kwa muda usiozidi miezi miwili na nusu. Kwa wale ambao wanaishi au walishawahi kuishi hapa Kuala Lumpur naomba msaada/ushauri wa mambo...
Ndugu zangu wana JF,
Nahitaji paka mdogo wa kufuga kwa gharama isiyozidi 25elfu, awe mdogo, asiwe mweusi na awe katika wenye uwezo wa kupambana na panya ikibidi.Inabidi awe DSM nitamfuata mwenyewe...
Jamani nawasalimu! Kisha nawaombeni msaada.Kuna tangazo ktk website ya UDOM (university of dodoma) lina title kama hiyo hapo juu.Mimi nimeshindwa kulisoma kwani natumia mobile device ambayo...
Hi,
Nauza TV yangu SAMSUNG 29'' flat( ina kachogo kadogo sana) ,nilinunua nov 2009. Bei 500k(negotiable)
kama upo inetrested,
+255754964911
kaijage@live.com
Karibu
Wana JF naomba msaada. Nina tafuta chumba kimoja self au chumba na sebule kwa ajili ya familia ya mtu mmoja. Eneo lolote isipokuwa mbezi ya morogoro roadd. Ni vizuri kama nyumba ina uzio na gari...
Nawatoleeni salam wakuu wenzangu nimepatikana na msiba wa Dada yangu Mpenzi hapo Dars-salaam Vijibweni nawataarifuni wote ndugu zangu wana JF Dada yangu amefariki hii leo saa saba mchana...
Wana JF hamjambo??? siku nyingi jamani, i missed my daily dose of JF.nilikuwa nimepotelea kule mikoani building the nation... but now am back!! not sure where to start but glad to be back...
KWA WANAFUNZI WANAOFANYA PROJECTS ZINAZO-INVOLVE MICROCONTROLLERS,
TUNATOA MSAADA KUANZIA USHAURI ,KUDESIGN SYSTEM ,PROGRAMMING AND FINALLY IMPLEMENTATION.
Wengi wamefanikiwa via kwetu...
All Tanzanians who live in Massachusetts are invited
to the 1st African Town Hall Meeting with Governor Deval Patrick
Saturday, April 17th, 2:15pm
Tobin Community Center,
1481 Tremont St...
Automatic, nyeupe, toleo la 2000, silinda 6, Ipo katika hali nzuri.
Bei sh 7.9mil. Nafasi ya maongezi hipo. Inapatikana Dar es Salaam. WHO kwa ahadi (appointment) kwa kuomba appointment piga simu...
Je unahitaji curtain box kwa ajili ya nyumba yako?tutakufungia curtain box nzuri na za kisasa kwa garama ya sh. 27,000 per meter for double curtain box and 17,000 per meter for single curtain...
Kuna ndugu yangu, ni binti, ana umri wa miaka 28, ana degree ya IT, anatafuta kazi Dodoma.
Ndugu wana JF naomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anataarifa zozote zitakazosaidia.
Wapendwa wana ukumbi, JF
Napenda kuwafikishia salamu za utangulizi juu ya kujiunga rasmi kwa aliyekuwa mbunge wa Bukoba mjini kwa tiketi ya CUF mwaka 2000-2005 hapa jukwaani, JF
Mh. Lwakatare...
Gari ya kazi inauzwa kama unavyoiona katika picha. Ina injini ya diesel.
Nzima inatembea ipo katika hali nzuri. Bei yake 4.5mil. Inapatikana Dar es Salaam. kwa maelezo zaidi tuwasiliane.
0717114409
We import air condition for our building project and after installation we remain with about 20 Air Condition LG,18000BTU.
We herby selling the remaining stock at Tsh 800,000 per item.Incase you...
Nyumba inauzwa. Ipo Mbezi Msakuzi, ina vyumba 5, vyoo 2, mabanda ya uwani vyumba 8, haina maji wala umeme. Imezungushiwa ukuta. I na geti, imepigwa plasta tayari, inauzwa pamoja na shamba la eka 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.