Wakuu,
IAM SHOCKED!
HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!
Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.
Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango...
Habari zenu wanaJF nina shida na Tablet PC kwa jili matumizi ya mwanangu ambaye yuko chuo,nimejaribu kuulizia maduka yote hapa Kigoma bila mafanikio,hivyo nimeamua kufunga safari kuja Dar wiki...
Salaam wana forum!
Kuna nyumba nimeamua kuiuza ipo gongolamboto B.Details zake ni kama ifuatavyo:-
1.Ina fensi
2.3rooms plus 2 rooms outside in total there are 5rooms
3.Choo cha ndani na bafu...
Ndugu wana jamii nina mali zifuatazao
Green tourmaline, Red tourmaline, Nickel, Hammersist na mengineyo kulingana na mahitaji ya mteja.
Wasiliana nami kupitia +255789453048 / +255752746068...
Mimi, Chrispini, BHT, Geof, Ziondaughter na Kaizer tumewawakilisha wana JF wote kwenye msiba wa baba yake Pakajimmy maeneo ya kitunda na safari ilianza mida ya saa 8 kulekea Mbeya ambako mzee...
Yoyote anayeuza au anayehusika kwa namna yoyote katika biashara ya dhahabu chafu isiyosafishwa haswa haswa vumbi la dhahabu(gold dust) awasiliane na mimi, Ninaye partner wangu mmiliki wa kampuni...
Wana JF habari wakubwa??
Naomba Ushauri nataka kununua Nissani Civilian Bus ili nifanya daladala sasa naomba ushauri kwa mwenye kujua aina nzuri ya Magari hayo maana mimi nataka kununua Engine...
4 Bed room House with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The rent is 550,000 Shillings per month.The Rent is negotiable. The house...
2000 model toyota corolla spacio
98,000km
silver color
1600 CC
options
AC, power steering,power window, custom wheels, radio, CD, tape, air bad, 3 rows seats, very clean inside and outside...
2000 model toyota raum
95,000km odo
white colour
1450CC
options
sports rim, AC, radio, ABS, power steering, power window,
bei 7,000,000/-
contact 0713 744 144 - abdul
Nina laptop ya mac Power book G5 Panther version 1.3.8 ram imeharibika. Ninasema hivyo kwa kuwa computer haitaki kuwaka na in beep mara tatu which means RAM is dead.
Nimejaribu kwenda Elite...
Kwa usafilishaji wa mizigo au kuagiza magari basi ni
kampuni ya al marma clearing and forwording yenye
makao yake makuu dubai, unasaidiwa kupata visa,
unapokelewa air port, na kupelekwa katika...
Kwa wale wanaotaka kuagiza gari kutoka Japan,tuwasiliane, e mail;
myaboyz15@yahoo.com au contact@lucusjapan.com. Nitakusaidia kupata gari nzuri kwenye auctions za Japan.
safirisha mizigo na al-marma clearing & forwarding
kuagiza magari na mizigo mbali mbali kwa usalama
na bei nafuu na uaminifu wa hali ya juu hebu tujaribu
huduma zetu uone, kwa maelezo zaidi fika...
Wandugu.
Nauza hiace minibus ya abiria 16 ambayo ina mkataba na kampuni maarufu kwa malipo ya Shs.1.8 million kwa mwezi.
Bei ni maelewano.Nipigie simu 0784829633 au tuma email: sleyim@gmail.com.
Members!
Kwa heshima na taadhima, na kwa niaba ya familia ya Member maarufu wa jukwaa hili, Geoff, nawatangazia kwamba huyu mwenzetu anaoa 13/02/2010 huko Iringa...(msiniulize shemeji ni wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.