Kiwanja chenye ukubwa wa eka moja kilichopo maeneo ya Njiro mpakani na Kijenge Mwanama kinauzwa kwa bei ya Tshilingi milioni 35/=.Kwa maelezo zaidi wasiliana kupitia namba 0762560088.
Jamani mimi mwenyewe natafuta nyumba ya kupangisha iwe maeneo ya makumbusho,vyumba viwili au vitatu vya kulala bei kuanzia laki mbili na nusu hadi laki nne,iwe na uzio hata kama ukiwa wa kuchangia...
Heshima zenu wakuu...Nina machine za dell (ultra small form factor) kama 700 hivi naziuza, zina specification nzuri sana kama ifuatavyo:
Duo core 2.2ghz processor speed, RAM 2gb, 320gb(size ya...
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana.
Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl...
Casper the commuting cat killed by hit-and-run driver as he crossed the road to catch his daily lift
Last updated at 4:30 PM on 18th January 2010
A cat which became famous for catching...
Kwa wale wadau wa kujimwaga usiku ile Night Club maarufu iliyofungwa kwa ajili ya ukarabati na kupoteza mwelekeo itazinduliwa tena Jan 29,club hiyo ipo karibu na Legho bar na kwa hakika inapendeza...
4 Bed room House with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The rent is 550,000 Shillings per month.The Rent is negotiable. The house...
Gari inauzwa Escudo Nomade ya Dark Green imeingia Dar kutoka Japan Date 26/11/2009 inauzwa imesajiliwa T 675 BED kwa mawasiliano zaidi piga 0713623575 Bei Inaanzia Milioni 15 mpaka Milioni 14...
HAYATI MACHALO MAJIGE FAUSTIN, (SAMSON MUKANDYA) ENZI ZA UHAI WAKE
Familia ya Marehemu, Bw & Bibi, Aloycius Chokara, wa Sinza Mori Dar-es-salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa...
Mimi ni daktari wa mifugo mwenye degree ya veterinary medicine i.e. Bachellor in Veterinary Medicine (BVM), Nipo Dar-es-salaam. Ninatoa Huduma kwa wafugaji wa: Kuku na Ng'ombe ili kuzuia na kutibu...
Jamani watu wanasema hizi engine ni mbovu sana, lakini nadhani ni uelewamdogo wa jinsi ya kuzirepair kwani ni engine ngeni ukilinganisha na nyingine.
Kama kuna mtaalam aliyebobea ktk ishu za...
Wanajamii heshima kwenu.
Ninatafuta nyumba ya kupanga self-contained Dar Es Salaam, yenye vyumba vitatu vya kulala na iliyo kwenye sehemu yenye utulivu na usalama. Kwa kuwa suala lenyewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.