Kuna rafiki yangu anatafuta nyumba ya vyumba viwili, sebule iwe master na jiko lake iwe na parking na gate maeneo ya kijitonyama. tuwasiliane kwa namba 0712 202320
A recently redeveloped modern property of four
bedrooms located in Ununio is available for rent.It is fenced . Decent and safe Neighbourhood. Ununio Beach is next to Bahari Beach. The House is...
Habarini wandugu.Nilibahatika kununua site hapo Kimara Kilungule na sasa imenishinda kwani nimepata mawazo ya kutafuta makazi Kigamboni na ninaiuza kwa yeyote aliye tayari.Ina ukubwa wa mita 20...
We are 34 days before the meeting of FODEM takes place.
What is FOSDEM?
FOSDEM is a free and non-commercial event organized by the community for the community. The goal is to provide Free...
A recently redeveloped modern property of four
bedrooms located in Ununio is available for rent.It is fenced . Decent and safe Neighbourhood. Ununio Beach is next to Bahari Beach. The House is...
Muda si mrefu mwanamziki wa Msondo Ngoma Josee Maina amefariki dunia ndani ya daladala alikuwa akienda kurecord Sinza.
Poleni ndugu wa marehemu pamoja na mashabiki wa Msondo Ngoma.
More news to...
Salaam sana
Tafadhili kama kuna mtu anayeweza kusaidia jinsi ya kudownload computer ant-virus au duka ambao naweza kununua kwa hapa Dar es salaam
Tafadhali naomba unisaidie.
Nyumba inahitajika haraka Tabata bima.
Kodi laki 150000 hadi 300000 kwa mwezi iwe na:-
uzio na paking.
mbali na baa.
barabara inayopitika kirahisi.
Natanguliza ahsante kwenu wana JF.
Ndugu zangu mimi nimeletewa zawadi ya simu na ndugu yangu anaeishi Denmark aina ya Samsung i780. Lugha iliyowekwa mle ndani ni Danish. Nimejaribu kubadilisha to English simu inakataa. Inaelekea...
Wana JF nasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu, mwanaharakati wa utunzaji misitu Ndg. Corodius Thomas Sawe kilichotokea usiku wa kuamkia jana pale Morogoro.
Kwa wasiomfahamu alikuwa ni Afisa...
Kwa mwenye ufahamu wa bei na ubora wa vifuatavyo,atoe maoni yake
1.Tiles
Naomba bei za good Quality tiles.porcelain,ceramic all good.nahitaji za sakafuni,bafuni na jikoni.
2.Gypsum for ceiling...
Nimetafuta kariakoo kote tyre za gari aina ya suzuki R wagon sikupata,size yake ni 165/55R14, nimepata ambazo kubwa zinagusa body, kuna jamaa wameniambia nikanyanyue bodi ya gari ili niweke hizo...
German Shepherds
wana jamii nimeona tangazo la mbwa nikakumbuka kuwa nilikuwa natafuta Mbwa kwa mda mrefu sana kwa ajili ya ulinzi wa nyumba wakati nipo kazini BILA MAFANIKIO.
NAPENDELEA ZAIDI...
KATIKA hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Kalinywa (35-40) mkazi wa Mlandizi amefariki dunia wakati akichimba kaburi la rafiki yake aliyetambulika kwa jina moja la...
Saalaam Sana,
Napangisha NYUMBA vy Vyumba vitatu iko UNUNIO BEACH . Kodi ni Shs 520,000 kwa Mwezi ,Maelewanbo yapo. Nyumba ina Vyumba Vinne,Sebule na Dining ,Jiko ,Korridor na Vyoo Vitatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.