Hey wakuuu,
Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General...
The Mission to Seafarers Dar es Salaam Invite Tenders from Eligible Service Providers to bid for Running of Mission to Seafarers Restaurant at Kurasini Dar es Salaam for a period of one (1) year...
MIMI STANLEY MOSES
NAKUTAFUTA WEWE DADA YANGU
CHERU MKOMBO
POPOTE ULIPO TANZANIA
TULIACHANA NA WEWE ULIPOMALIZA KIDATO CHA NNE
TABORA GIRLS 2004
HADI LEO NAKUTAFUTA UKO WAPI?
JAMANI...
Nyumba ya kununua inahitajika haraka kwa ajili ya kununuliwa. Iwe maeneo ya Kijitonyama au eneo la kinondoni. Kiwanja chake kiwe na Hati miliki(Tittle Deed), Bei isizidi 100mil. Na ikiwa kuna...
Salamu WanaJF. Kuna MwanaJF mtarajiwa ambaye amepata uhamisho kutoka mikoani kuja jijini anatafuta Upande/Vyumba Vitatu ama nyumba nzima (kama bei sio maumivu sana!) maeneo ya kuanzia Kimara hadi...
nimepata uhamisho wa kikazi from znz to dar ndo sababu ya kuiza gari,
imelipiwa ushuru wa znz,bei hii inazingatia gharama za mnunuzi katika kulisafirisha frm znz to dar.
kama atakaye nunua yuko...
Tunasikitika kupokea kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini na mmoja wa waasisi wa CHADEMA Kanali (Mstaafu) Geofrey Marealle kilichotokea jana usiku. CHADEMA inatuma salamu za pole...
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada,
Kwa yeyote anayemfahamu fundi rangi wa kupaka rangi nyumba, naomba anipe contact zake either hapa jukwaani au ani PM.
Sifa za fundi huyo;
Awe makini,mwenye...
I have a 1989 Merecedes Benz model 200 Automatic 124 V boot South African made. White in color and still in good running condition I am interested in trading it in with a RAV 4. Otherwise I am...
Kiwanja ni kikubwa sana na kinafaa kwa hotel na biashara zingine zinazohusiana na starehe au utalii
Mnunuzi atanufaika na spill-over benefits kutoka kwa mahotel ya mwambao yanayozunguza kiwanja...
Hello wana JF!
Nina nyumba ya kupangisha yenye description zifuatazo:
> Nyumba ya kisasa kabisa ya ghorofa moja
> Ina vyumba 3 vya kulala juu, na kimoja chini (vyumba vyote vina choo na bafu)...
Viwanja viwili vinauzwa. Vipo Buyuni.
kila kimoja kina ukubwa wa sqm 780.
Bei ya kila kimoja ni sh 5mil.
Vyote vina hati miliki.
Kwa mawasiliano. 0171 114409
2005 model 61541km the vehicle was bought about
Few years ago from DT Dobies as brand new. Since it was bought it as been services
By the same sale D.T. Dobies. Manual Transmission.
Price 23mil
salaam wakuu, nimeshushiwa mzigo mwingine tena wa radio za gari zinatoka ujerumani, ni mpya(siyo used), zinapiga Audio CD,CD-RW,MP3,USB,SD/MMC, 4 x 100 Watt Max. bei imepungua kidogo, 250,000...
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mmoja wa wanzilishi wa mtandao wa MZALENDO.NET, nitatoa takwimu za mtandao au project hiyo hapa tokea tufungue mtandao huo.
Takwimu za maendeleo project...
Wakuu wote JF, saalam za heri:
- za sikukuu ya Thanksgiving ambayo inafanyika kesho hasa huko USA, lakini wale wengi wetu tuliowahi kuishi huko na wengine wote tuungane kusherehekea siku hii...
Assalamu alaykum
Nakutakieni Eid Mubarak wana ukumbi wote, Allah akupeni kheri pamoja na aaili zenu, na akutilieni barka na furaha katika majumba yenu...
Vile vile Namuomba Allah Ajaalie ukumbi...
Yawezekana wewe ni mmoja wa waathirika wa ugonjwa wa ukimwi yawezekana una ndugu anaeumwa ugonjwa huu,...wapo wanaoamini mungu awezi kushindwa wapo wasioamini ama kwa uwoga ama imani haba....leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.