Honda CRV- RD1, Color: Metallic Silver, Registered and used in Tanzania
Options: Power steering, Power windows, Power mirrors, Auto-Air conditioning, Stereo CD/MD, Central locking / Keyless, Roof...
wakuu nauza simu hiyo kama nilivyoandika,simu ni mpya imetumika mwezi mmoja tu europe specification napicha hapo chini ni pm ukiihitaji nikushushie
This unlocked cell phone is compatible...
gari aina ya toyota surf 1kz lina hali nzuri linauzwa.kama kuna mtu anahitaji aseme na apendekeze bei.(ieleweke engine yake sio zile za mchemsho).linatembea na lipo fit angle zote.linauzwa si kwa...
Hey Guys!!
Lots have been said about Disadvantages of Pajero Mitsubish GDI. anyone wishing to sale that kind of a car at 6.5m pm me straight away! Deadline is 21st Dec 2009.
Tcheers guys!! Enjoy...
salam wadau,
natafuta motokaa kwa ajili ya matumizi ya kawaida,kwa bajeti yangu ndogo ya 12M nimefanikiwa kukutana na motokaa hii kwa jina la Mitsubishi Airtrek.kwa wale wataalam wa magari,hii...
Kwa hesima na Ruhusa ya Burn natangaza rasmi tangazo la ndoa yake kama kuna mwenye pingamizi aseme leo au na akae kimya milele alichokiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenaginshe.
HARUSI YA...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009
Mada Kuu: Wanataaluma Na Vipaumbele Vya Taifa na Jinsi Wanavyoweza Kuchangia na...
Kuna nyumba ya vyumba sita inauzwa pale Mwananyamala 'B', ipo barabarani na inafaa kwa biashara. Kuifikia nyumba hiyo unaweza kutokea Victoria au Kinondoni. Bei ni shilingi milioni 50, lakini...
Kiwanja kikubwa ambacho kinafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi (takriban zaidi ya 20), chenye ukubwa wa eka (si hekta!) 8, kinauzwa kwenye eneo la Jangwani Beach.
Kiwanja kina uzio wa ukuta wa...
Habari wakuu habari ya asubuhi hii, kumekucha salama kabisa,
Natafuta rejeta ya AC suzuki escudo Nomade kwani nimepeleka kwa fundi amesema imetoboka sasa inahitajika ingine mwenye nayo au anajua...
Wanajamii,
Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza...
Wananchi wa Tanganyika ninasikitika kuwatangazia kupotea kwa LUKU ya Mzee Makamba.
LUKU hii ndiyo ilikuwa ikimsaidia Mzee kuchuja pumba na mchele, mbivu na mbichi, moto na baridi, majivu na kaa...
Wakuu:
Niko na used laptops ninaouza. Specifications na bei ni kama hivi:
1. Dell Inspiron 1100 (speed=2.4 GHz (intel Celeron); RAM=512 MB; Hard drive memory=40GB)
Bei= 435, 000 TZS
2...
Wakuu,
Kuna biashara nilifanya na AZAM lakini naona wameshindwa kutoa huduma niliyonunua na badala yake nazungushwa tu.
Nataka kuongea na Bakhresa mwenyewe au mtu mwingine mwenye mamlaka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.