Dear All,
kama nilivyowaletea siku ambayo mwenyezi mungu aliamua kukichukua kiumbe chake mpenda watu CAPT GEORGE MAZULA ambae mpaka anafariki alikuwa CHIEF PILOT WA kampuni ya ndege ya...
Naomba msaada wenu na ushauri, brother wangu anatafuta contact na details za hizi car rental companies. Je mtu binafsi anaweza peleka gari yake huko, je rates zao zikoje na ni kampuni gani...
Odometer at present: 88,436 km
Odometer when imported into Tanzania: 53,840 km
Imported from: Dubai, UAE
Date of reg: 01/08/2006
Year of Manufacture: 1997
Colour: White
Price: TSh. 12 mil...
Natafuta Nyumba au Plot ya kununua maeneo ya Upanga, Mikocheni au Regent Estate, mwenye taarifa au mwenye kujua ilipo tafadhali naomba tuwasiliane
kindiki@gmail.com
Kuna jamaa yangu yuko Ifakara anatafuta laptop mpya. Ana kiasi cha shilingi laki tano na nusu (550,000/=). Naomba tumwelekeze kama anaweza pata kwa bei hii na ni aina gani anaweza kupata...
Wana JF,tunaomba msaada kama kuna mtu ana experience na care homes(kwa ajili ya wazee) tunahitaji ushauri,mwanzoni kwa bure lakini baadae huenda tukamlipa. Tafadhali ni PM au andika kwa...
Usiku wa mwanzo wa siku ya leo (29 july) saa 7 usiku (01:00 am) moto mkubwa ulizuka ndani ya kiwanda cha bia (TBL) na kuteketeza masanduku matupu ya bia (yaani shells with bottles) yote yaliyokuwa...
Monday, July 27, 2009 5:46 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Australia amehukumiwa kwenda jela miaka minne baada ya kuichoma moto nyumba yake huku mkewe na watoto wake wakiwa...
Habari za leo Wanajamii,
Je Kuna mtu ambaye ana experience na VIDEO SURVEILLANCE SYSTEMS ?
Kama yupo, Kuna maswali mawili naomba anielimishe.
1. Bei ya soko (kununua na kuinstall A 4-camera...
Wana JF,Waheshimiwa wabunge walisema wamepunguza siku za vikao,ili kupunguza matumi ya pesa ya walipa kodi sasa kwa nini wanapo ongeza siku wasisamehe hiyo posho kama kweli hawataki kuvuja sana...
Nina ndugu yangu ambaye ameuza gari yake aina ya Mitshubishi Pajero io, ni mkazi wa Dar na anafanya kazi Ilala (karibu na uwanja wa karume) kwa maelezo yake anasema itachukua muda kidogo ili...
Wana JF.juzi Jumapili ya Tarehe 20/7/09.Kupitia ITV niliona Mpambano wa ngumi kati ya jamaa mmoja mnene kidogo kutoka Zanziba na mpinzani wake kutoka Bara,Ilisemekana kuwa wale mabondia ni...
MWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Pendo Kimaro [21] amejinyonga kwa kutumia kitambaa cha kujitanda kichwani [mtandio] baada ya hasira ya kugombana na mumewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.