Naomba kuuliza.
Kuna Land Cruiser Prado mbili zote za 2001, zote ni automatic, 90 series, rangi tofauti (nyeupe na silver), kilometer moja ni 65,000 na nyingine 88,000, lakini moja ni Petrol...
Ipo Kigamboni maeneo ya ungindoni. Bei ya kuanzia ni M 38. maelewano
Imekamilika ila haina fence but reserved for parking and other development.
Kwa walio sirias wasiliana na mmiliki 0717 221289...
Heshima mbele wakuu..
Ndo kama hivyo natafuta gari ya kutumia mi mwenyewe iwe ni Honda na iwe ni model ya kuanzia 2002.
Kama kuna mdau anayo aweke details then tuongee biashara.
ABIRIA zaidi ya 60 waliokuwa wakisafiri katika basi la abiria linalotambulika kwa jina la Harambee Bus linalofanya safari zake kati ya Dar Arusha walinusurika kufa baada ya basi hilo kupinduka...
Tafadhali kama kuna yeyote ambayo anaweza kunisaidi kupata fremu ya kupangisha.
-iwe sehemu nzuri
-mazingira yake yawe mazuri
-iwe barabarani
msaada tafadhali
Mkuu leo ni siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia kila la heri katika maisha yako. Mungu akuzidishie miaka mara dufu.
Happy Birthday to you......(2 times)
Happy Birthday dear Balantanda.........
.
.
.
Wakuu samahani naulizia mawasiliano na wananjenje nina issue nataka kujadiliana nao. Kama kuna mtu anafahamu simu ya kiongozi wao ama mmoja wa wanamuziki wa bendi hiyo basi naomba anisaidie. Vile...
Pick-up, nyeupe,1996model, manual transmission, 2800cc, diesel,3l engine, ipo katika hali nzuri ukiiona lazima uipende.
Ac inafanya kazi barabara. Bei 16mil
Wadau wa masuala ya uchapishaji, lazima nikiri kwamba baada ya kusota sana mtaani nimeamua kuumalizia muswada wangu kwa nguvu zote!!Muswada ni wa riwaya, ambayo naamini iko poa na i hope penye...
Wazww wa kazi,
Kuna kitabu nilipata kukisoma miaka tele hapo nyuma, kikiandikwa na Mkenya mmoja mtundu sana ambaye kwa bahati mbaya siwezi kukumbuka jina.
Kitabu hicho kinaitwa One By One...
Napenda kuwauliza wale wataalamu wa umeme: specifications za generator ya umeme unaowezesha kutumika kwa taa, fridge, jiko la umeme katika numba yenye vyumba kama vinne hivi, ni zipi?
Natanguliza...
WAUNGWANA, NAOMBA KAMA KUNA YEYOTE ANAIFAHAMU EMAIL ADRESS YA THE FORMER AFRICAN BANKING CORPORATION AMBAYO KWA SASA INAFAHAMIKA KAMA BancABC. Please Assist
Interested customers:
We are ready to deliver at their doors especially for those in Dar, Mwanza and Arusha. The minimum order for "Door-to-Door" delivery is one box (12 jars)
Wapedwa kwa wale mlioko dar,
Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea...
Ipo Tabata Kinyerezi. Ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure kuwa, maji na umeme. Ipo katika eneo la nusu eka. Mbele yake kuna barabara kubwa ya rami.Ina Hati Miliki.Bei yake ni Tshs 180mil...
Wapendwa Wana JF,
Kwa kununua Asali Halisi ya Sanjaranda:
Unachangia maendeleo ya Nchi yako,
Unapunguza umaskini vijijini, na
Unachangia kudumisha jamvi la Jamii, JF
Tuwasiliane...
Prof. Haroub Othman....,
On the sideline of Mwalimu Nyerere Intellectual festival, april in Dar es Salaam university....Dr willy Mutunga who happened to have been a student in Dar ...invited me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.