Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Muda si mrefu nimeongea na mdau wa JF Lunyungu akaniarifu kuwa kapata ajali mbaya maeneo ya Bagamoyo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupinduka vibaya. Kwa wale wenye kuhitaji kuongea naye...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
Jamani naombeni ushauri wenu....nataka nikapange kati ya TABATA au Maeneo ya kuanzia Banana ukonga hadi pugu......sasa sina uzoefu wa maeneo haya naombeni ushauri wenu.... Naombeni samahani kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Watanzania kwa kweli tunaumizana kuliko watu wengine hapa duniani.ni kwamba kila utakacho nunua dukani ujue umeibiwa;kwa mfano ukinunua saruji ujue kuna kilo kama tano hivi mpaka nane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WADAU TAARIFA MUHIMU. Mimi Juma Mbega namba ya simu 0784 708970 wa Keko Juu. Dsm. email: juma.mbega@yahoo.com VITU VILIVYOIBIWA DSTV - 1. DECODER DUE VIEW MOJA DSTV - 2. SINGLE DECODER MOJA...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Napenda kuwataarifu kuwa ile laptop imeshanunuliwa. Nawashukuru wote walioonyesha nia ya kuinunua. Pia nawashushuru wale wote waliowataadharisha wenzao kuhusu ufanyaji kazi wa dell inspirons...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni na shughuli nyingi wana JF. Ndugu wana JF ,nina watoto wawili wa darasa la pili na la tatu,nawatafutia shule ya boarding (mchanganyiko wa kiume na wakike ),maeneo ya Dar au mkoa wa Pwani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SAMAKI (FISH) • Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi • Huilinda mishipa ya damu isiharibike • Huzuia damu kuganda • Hushusha shinikizo la damu • Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina mshikaji wangu ambaye aliondokewa na mke wake kiasi cha miaka minne iliyopita. Anatambua umuhimu wa kupima virusi ili kuishi kwa matumaini ila tatizo ni kwamba hataki kupima hospitali bali...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wana JF, Kwa walo waliopo Tanzania au wnye ufahamu wa bei za laptop na desktop Tanzania, naomba msaada wenu kwa kunipatia makisio ya bei za laptop na desktop nilizoonesha hapo chini. Hizi ni...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
  • Closed
Habari za Mchana. Habari nilizozipata Asubuhi hii ni kwamba Matokeo ya Wanafunzi waliochaguliwa Vyuo Mbali mbali yametolewa.UDSM,MZUMBE,Zanzibar State University,SUA,TUDARCO,AU,UDOM,ST...
0 Reactions
18 Replies
26K Views
We have Investors currently looking to provide funding for energy construction development projects around the world. Criteria to match: 15%-20% equity is needed by the owners to get the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wanajamii, Kwa niaba ya timu nzima ya Bongo Radio ningependa kuwatangazia wale wote wenye mapenzi ya kuwa watangazaji wa vipindi mbalimbali vya radio na u-DJ kuwa tunawaalika...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
------ Dear Friends and well wishers, I humbly write to you in connection to above mentioned lady who is a daughter of The late Richard Muro who passed away sometimes in 2002.I received a call...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WADAU NAOMBA NIIWEKE HUKU NYINYI MTAAMUA IKAE WAPI? KATIKATI YA TANZANIA INADHARAULIKA Siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Singida sasa nikapita kijiji kimoja abiria mwenzangu nilikuwa nimekaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamii,naomba kama kuna mtu anazo contact za hawa rafiki zangu anipatie: Adelta Mlai (mwalimu wa primary hapo Arusha Monduli) Rose Sandi (Marangu) Natanguliza Shukrani!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msiba mzito wa mama yetu, mwalimu wetu mpendwa mama yetu na mwalimu wetu mpendwa Frida Mtunguja ambaye alikuwa anafundisha shule ya msingi chumbageni tanga amefariki jana tarehe 16/06/2009 saa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msiba mzito wa mama yetu, mwalimu wetu mpendwa mama yetu na mwalimu wetu mpendwa Frida Mtunguja ambaye alikuwa anafundisha shule ya msingi chumbageni tanga amefariki jana tarehe 16/06/2009...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Je una ndoto ya kuwa na nyumba nzuri iliyopangiliwa kitaalam?wasiliana nasi tutakuchorea ramani nzuri kwa garama nafuu!email:akamanyusi@yahoo.co.uk
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NYUMBA INAUZWA. IPO MBEZI MEACH DAR ES SALAAM. IPO NDANI YA UWANJA WENYE UKUBWA WA MITA ZA MRABA 2600. NDANI YA HUU UWANJA KUNA NYUMBA KUBWA YA GHOROFA YANYE VYUMBA VITATU HUKU MASTER BEDROOM...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom