Kuna kiwanja kinauzwa sakina (ARUSHA). Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.
karibuni waja JF.
Twapenda kuwafahamisha kwamba vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kikiwemo kitabu cha "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" kwa lugha ya Kiingereza, Africa Today and...
Kwa wenyeji, wakazi au walio na miradi mikoa ya Kilimanjaro au Arusha wanaohitaji mafundi bomba (Plumber) na ujenzi wa nyumba wenye uzoefu na kwa bei nafuu tuwasiliane +255713493439 au kwa kuni-PM
MY name is kitomai. I am a private car salesman cum private property salesman who resides in Dar es Salaam . My duty is to help people sell or buy vehicles or immovable property i.e plots...
Wakuu heshima mbele!nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali,nimechukua ka mkopo na kununua gari aina ya Coaster,inakodishwa kwa tripu za hapa Dar na hata mikoani kwa shughuli za Harusi,mikutano na...
Nyumba ya kupanga inahitajika Dar es salaam Tanzania maeneo ya Mikocheni, Mbezi beach, Bahari beach, Kunduchi, Kijitonyama. Bei maelewano kama ilivo hali halisi Dar. Nyumba iwe na yafuatayo...
Mzee!Habari!
Naomba niwekee tangazo nauza gari Toyota Chaser Rafine T921 AEA iko katika hali nzuri bei 2.5M Maelewano yapo inatembea. sababu za kuuza ni haraka kwa ajili ya ada ya shule...
It should have:-
· MASTER BEDROOM PLUS 2 OTHER SPACIOUS ROOMS.
· IMMACULATE GARDEN.
· PLENTY OF DAWASA WATER.
· LUKU ELECTRICITY.
· FENCED.
· CAR PARKING
· location...
Plot kubwa na nzuri size ya plots nne za ukubwa wa 80"20 ambayo iko Buzza Kipera Tandika wilayani Temeke. Iko kwenye fantastic view so inafaaa kwa ajili ya residential houses. Lakini pia yaweza...
WATU 17 wamezirai na wengine kuwa katika hali ya mstuko mkali katika zoezi la kuteguliwa kwa mabomu yaliyobaki katika kambi ya Jeshi WATU 17 wamezirai na wengine kuwa katika hali ya mshtuko...
We actually deal with various prime lands in prime region areas of DSm, Arusha, Mwanza, Mbeya and Dodoma. Plots are for:-
· Housing estate (single storey structures, apartments, town house...
Kindly find more information of plots in Dar es Salaam as follows:-
Bahari beach plot (13acres) near the upcoming five star bahari beach hotel in Kunduchi.
18 acres in Bahari beach near the...
Portable Room Air Conditioner
Wadau naulizia je hii inapatikana bongo na kama ipo ni Tsh ngapi ni hayo tu wakuu msaada wenu ni muhimu! (Kumbuka: natafuta Portable maana mi ni mtu wa kuhamahama)
This corner plot is strategically located for hotel development or office tower. It is at the junction of Kenyata and Pamba road. It has an area of 1200sqm with a clean title! Call 0754 85 82 45
Natengeneza Computer katika nyanja zote Software & Hardware
Napatikana Maeneo ya Temeke Dar es salaam
Servicing of pc: (price)
Desktop checking & Service Tshs. 10,000/=
Laptop...
Waungwana naomba mtusaidie kidogo kupambana na wizi!! Ndg. SALIM SHABAN LOSSINDILO mkazi wa Kiwalani Dar es Salaam anatafutwa na Polisi kwa kosa la wizi wa kuaminika wa kiasi cha tsh. 5,000,000/-...
KATIKA hali ya kushangaza imetokea juzi katika maeneo ya Boko baada ya babu mmoja kutuhumiwa kuwa amebaka mama mjamzito kuachiwa huru na polisi na mama huyo kubaki kushikiliwa na polisi.
Tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.