Misitu ni muhimu sana kwa maisha yetu. Nilisikiliza kwenye vyombo vya habari juzi kuhusiana na Msitu wa Shengene uliopo Same/Mwanga Kilimanjaro. Watu wanakata miti na kuchimba madini kwenye vyanzo...
Najua kuwa admin hana control dhidi ya matangazo yanayokuwa streamed hapa kutokea Google. Hata hivyo nadhani anaweza kufanya something kuzuia matangazo yanayoweza kuwa offensive kwa baadhi ya...
Special for Those who are BUILDING Houses in TANZANIA !
We are specialized in fabrication of uPVC Windows, Doors and Partitions. !
Give your house a professional look ....
CALL US TODAY ...
Kuna Mtanzania yeyote aneishi Brazil au namba ya ubalozi kama tunao hapo au balozi shirikishi anejumuisha nchi za eneo zima la huko na yupo Nchi gani ?
Kasi ya kukitoa kijarida nayo imeongezeka baada wa watu wengi kujitokeza kuwa tayari kukisambaza na kwa kiwango kikubwa kunifanya niamini kuwa tunaweza kama tukitaka.
Sasa tunataka watuma...
Imeingia toka our IT Dept:
All,
This applies to both your work and home computers.
Several people have received an email supposedly from CNN with the subject line something like "CNN...
Fikiria unapata kijarida cha kurasa mbili au nne hivi cha Kiswahili ambacho ni cha bure kabisa. Ni kijarida cha habari na maoni kinachojaribu kuunganisha mambo yanayozungumzwa kwenye mitandao...
Nataka nijiunge na jukwaa la wajasiriamali jamani ili nijikwamue na ugumu wa maisha bongo maana kila kitu kimepanda bei ila mishahara iko palepale. Jamani anayejua napoweza kupata frem sehemu...
Dear All,
The following are the funeral and burial arrangements time table for the
late Capt. George Mazula on Wednesday the 6th of August 2008.
1. From 11.00 to 12.00 hours...
There is a girl called Beatrice, born from a British /Korean father and a Tanzanian mother. Yes, by face she looks both Korean and Tanzanian too. Mr. Douglas John claimed to be her fathers name...
TELECOMMUNICATION SYSTEMS INSTALLATION/SALES
SECURITY SYSTEMS INSTALLATION/SALES
COMMUNICATION SYSTEMS MAINTENANCE
RESEARCH & INVENTIONS IN IT & TELECOMMUNICATION FIELD
CONSULTANCY
WE...
Ex-Google staff launch rival search engine, Cuil
The new site promises better results by scouring a larger index of web pages than Google, but experts are cautious about its prospects
A...
Wanajamii
Ni juzi tu bungeni wametangaza kuongeza kiwango cha mishahara ingawaje hakikidhi haja ya mdanganyika anayeteseka.
Cha kushangaza ni kuwa serikali inaanza kukopa nguvu za wanyanyasikaji...
Kuna mtu yeyote ambaye ameishajaribu kutumia hizi card zilizo kwenye barners za hapa JF CallTanzania.Com?
Kama yupo naomba anisaidie yafuatayo, nataka kujua quality ya sauti na kama kweli rate...
Wajameni
Nina Kaswali Kadogo...
Haya Maji Yanayouzwa [cool Blue] Yana Uhusiano Gani Na Costech?
Maana Email Ya Biashara Ile Ni coolblue@costech.or.tz
Thanks
TAARIFA KWA UMMA
__________
YAH. AJALI YA GARI ILIYOTOKEA LEO 18.7.2008 ASUBUHI
ENEO LA GAIRO
Kutokana na ajali mbaya ambayo imetokea leo Ijumaa 18.7.2008 majira ya asubuhi eneo la...
Dear JF members I would like to take this special opportunity to inform you as my dearest members that today 17th July is my Birthday.
.....Happy Birthday to (me) x3
Happy Birthday dear...
Baada ya tafakari ya kina nimeamua kuacha kuandikia mojawapo ya magazeti ya nyumbani ili nijipe muda wa kushughulikia mambo yangu mengine binafsi na kujipanga upya. Unless mambo yakibadilika...
Pamoja na kuwa kauli mbiu ya hamasa ya Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke ilibuniwa na Mwenyekiti Mbowe wakati wa kampeni, nataka kukanusha hapa kwamba mtu anayejiita Mpaka Kieleweke hapa Si Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.