Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Jipatie nakala yako kwenye KLHN News. Tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na DCI Manumba vile vile kuhusu suala la SMS za vitisho. Jipatie nakala yako HAPA. Ukitaka nakala kwenye mailbox yako ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za: 1. Aina ya matunda mbali mbali 2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu 3. Misimu ya kila aina ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ubalozi wa home away from home (London) bi Mwana idi hajafuturisha.. Mzee malecelela alikuwa anafuturisha Shariff halikadhalia Kibelo naye alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
well naona Sheikh Mo alikuwa anapewa exclusive tour...wanasema itaunguliwa 9/9/2009 lakini mie naona iko tayari..according to the video I cant wait for this maana ile misafara ya kwenda Deira...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajameni hivi lile tangazo la tcra kuhusu mwisho wa matumizi ya analog radio na kwamba radio zote ziwe za digital system ni lini mwisho wa kutumia hizo analog? Nakumbuka kusikia TCRA wakitoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Sijaonekana jf kwa siku kama 7 hivi. Niko Kigoma. Shida hapa ni umeme na cafe inanilazimu nilipe bei tofauti tofauti. Kama kuna umeme wa Tanesco 1,500/= kama ni Generator 2,000/=...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Nina mpwa (kike) wangu ambaye yuko Form III. Tatizo performance yake darasani inashuka kila siku. Mwanzoni alikuwa ana perform vizuri sana darasani. Lakini kadri anavyozidi kukua ndivyo grade zake...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Taarifa zimefika punde, ZAIN wameanzisha xtreme SMS kama tiGO! Hii inaonyesha kabisa kupevuka kwa huduma za mawasiliano Tanzania. Hii mitandao nayo ni ya kujadiliwa maana..... kuna mambo kama ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Leo ni miaka 125 ya Jumba la Maajabu huko Zenj... Karibuni katika sherehe hii adhimu! Bonyeza hapa kwa detail. sherehe hizi zitadumu kwa mwezi mmoja..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Over US $ 530,000 will be worn in a business plan competition known as Believe Begin Become which is organized by Technoserve Tanzania and Universityof Dar es Salaam Entrepreneurship Centre...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Mwalimu Julius Nyerere Chair in Pan-African Studies P. O. Box 35091 Tel: 255-22-2410763, 255-22-2410500- 9, x.2326Cell: 255-754- 475 372 Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta lawyer ambaye anajua vizuri sheria za Tanzania kuhusiana na Intellectual Property (IP) rights, specifically Trademarks, Copyrights, and other related rights. Any ideas/suggestions?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WAKUU HESHIMA IWE NANYI, Natafuta Toyota Hiace ambayo itakua katika Good condition,bei tutaelewana tu.Please wakuu mwenye information basi anaweza kunipatia.Thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Tunaomba mtujulishe ni wapi mtu anaweza kupata apple IPHONE kwa bei nzuri hapa bongo, new/used? 2G / 3G. Pia mliokwisha kuzitumia tupeni wasifu wake hasa kuhusu uwezo wa betri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mamia ya Watanzania Dallas na Houston na baadhi yao ni wanachama wa JF. Kama mmesalimika tupeane taarifa!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vile vifaa vya kuongea na simu(bluetooth connectivity) kwa madereva vimewasili. Viko vya aina 4:- 1. Mirror system 2. Steering system 3. Sun visor system 4. Headset system Ni muhimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu anacho hiki kitabu? kama ancho anaweza kutuwekea humu?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
This' an announcement regarding system upgrade. It's a MUST and we have to do it for security purposes. We request for 1-2hrs of service. Your patience is needed during this short period
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa ukiwa na mtandao wa TIGO unaweza kutuma message kwa sh 500 tu kwa siku. HII NI EXTREME SMS. Tuma neno xtreme sms kwa namba 15509 na uweze kufaidika na huduma hii. KUMBUKA NI KUTUMA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom