Not at all...
Kuna topic iliwahi kuanzishwa hapa na mwanachama akilalamika kuwa JF haiko salama na iko uchi, sikujibu kitu nikaacha wadau wamjibu ili kuona wangapi wanaelewa kinachoendelea.
Kwa...
Waheshimiwa namtafuta mshikaji nilikuwa nae Chuo anaitwa Joseph Kahungwa. Nafahamu yupo USA lakini nimepoteza contacts zake yeyote mwenye kujua nampa anipenyezee kwenye PM
Natanguliza shukran
Karibu UtuExchange
Napenda kukukaribisha UtuEchange.
UtuExchange: Trading on the future!
UtuExchange ni mchezo ambao washiriki mnashindana katika kubashiri matukio ya baadaye. Jinsi ambavyo...
Mimi jioni hii ninajichanganya na Democrats abroad South Bank sasa kama kuna watu mnaweza basi njooni tukutane and of course hata mlio single and ready to mingle njooni
One thing is for sure...
Familia ya Dr. Eustace L. Kaijage wa Olympia Fields, Illinois, USA, inasikitika kutangaza kifo cha Bwana Elias D.Muganda, kilichotokea Chicago, Illinois, USA, tarehe 29 Oktoba 2008.
Jumuiya ya...
Kwa mujibu wa Chinga Networks hapa Detroit tumepata ujumbe huu:
"Wanajumuiya,
Mmoja wetu amepata ajali mbaya ya gari na yuko kwenye coma
University Of Michigan Hospital.Habari zaidi...
mlioko North America :)
Heart attack risk shifted by daylight saving time
Thursday Oct 30, 2008
By Gene Emery
BOSTON (Reuters Life!) - Clocks spring ahead and fall back when adjusting...
I have been informed that more than 60 used computers which were donated by donors to Sokoine University in August this year to help in teaching and training at different faculties and institutes...
Makamba afiwa na mtoto
Mwandishi Wetu
Daily News; Sunday,October 26, 2008 @00:03
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yussuf Makamba, amefiwa na mtoto wake wa kiume, Kimweri Yussuf...
Habari...
Ungependa kushirikiana kwa karibu na JF Administration crew? Ungependa kuchangia utaalam wako kwa manufaa ya wengine? Unawazia kuisaidia Jamii kwa kushirikiana na wenzako na...
Licha ya ripoti kutoka na kuonesha wazi jinsi gani NSSF inahusika katika vifo vya watoto Tabora, vyombo vyetu vikubwa vya habari vimeogopa kusema kilichomo, well, Cheche tuko tayari kusimama peke...
Jamani nina msg. kwenye simu yangu ya Kiganjani kuhusu mwanamapinduzi wa mambo ya Teknohama Prof. Nzali.
Naomba mlioko Mlimani au karibu naye mtuhabarisheni!
Kutakua na Mkutano siku ya Jumamosi tarehe 25/10/2008 pale Urafiki Social Hall Shekilango/Nyuma ya Urafiki Police kuanzia saa Tisa jioni.
Mkutano ni kwa ajiri ya kuzindua taasisi kwa Maendeleo...
Balozi/Mwalimu Edward Mhina amefariki Dunia Leo Jijini Dar-es-Salaam Tanzania.Mzee Mhina amefariki Dunia nyumbani kwake Makongo Juu.Habari za Msiba na mazishi Mtaarifiwa Baadaye.
To all TPN Members, all Interested Professionals and the Public in general
The NMB (National Microfinance Bank) IPO share offer is finally here. The following are the initial details from the...
DELL *INSPIRON 1525 LAPTOP COMPUTER WITH GLOSSY 15.4'' HIGH DEFINITION WIDE SCREEN DISPLAY AVAILABLE FOR IMMEDIATE SALE AT US $1300.
Specification:
Intel Pentium Dual Core CPU T3200(2.00 GHz)...
LT 158 NCE MULTIMEDIA PROJECTOR FOR SALE,bei maelewano ni mpya imeingia kutoka UK alie interested apige NO +255 756 443 722,njoo na bei yako then tutaelewana (TIZAMA PICHA ZIMEAMBATANISHWA[/IMG])...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.