Marehemu Mohamed Abddul Shakur a.k.a Captain PAMA
Watanzania Italy wanasikitika kutangaza kifo cha Ndugu MOHAMED ABDUL SHAKUR (PAMA) kilichotokea 5th Jan asubuhi katika hospitali ya SAN GIOVANNI...
Nimefurahi kuona jinsi Marketers wa Zantel anavyojitahidi kutangaza huduma yao ya internet.
Binafsi namshauri aweke tanzazo lake na hapa JF. Watu hawajagundua, kwa mwezi JF inatembelewa na zaidi...
Wanabodi, ninamtafuta Nd. Ngwabi Ngawagilala mara ya mwisho kuonana nae alikuwa ni mkurugenzi wa SHIHATA katika miaka ya mwishoni ya 80. Mwenye kujua naweza kumpata wapi na yupo wapi kwa sasa...
Habari nilizopokea karibuni ni kuwa mtangazaji wa zaidi ya miaka 40 na BBC aliyestaafu miaka michache iliyopita na ambaye ni mzaliwa wa hapa kwetu Zanzibar amefariki dunia akiwa usingizini...
kwa wanajamiiforums wote,
Ninahitaji clips chache za taarifa ya habari inayosomwa kwa kiswahili yaani kutoka katika televisheni za Tanzania. Iwe ya kipindi chochote cha nyuma au hata za hivi...
Ni mara nyingi huwa tunajisahau na kudhani kuwa vita ya kumkomboa mwafrika ilipiganwa (?) na mtu mweusi peke yake. Tunawasahau wakina Ruth First, Joe Slovo, Athol Fugard, Nadine Gordimer na...
Heri ya mwaka mpya wakuu wote,
Ninaomba kama kuna mtu anaishi, fanya kazi au biashara nchini malaysia ani PM tafadhali sana. Natarajia kusikia kutoka kwenu. Asante.
Nikiwa kama mwana-member, ninapenda kuwatakia wote mafanikio mema katika mwaka huu unaoanza, mwaka 2009. Ninaamini mwaka unaoisha una mafanikio na hasara pia, all in all "May The Year 2009 Bring...
Hello Bi Mkubwa,
Your Birthday makes this day all more special and beautiful. Wishing you another year of good health, happiness and prosperity.
HAPPY BIRTHDAY Bi Mkubwa!!
SALAAM ZA MWAKA MPYA
Uongozi na wafanyakazi wa MwanaHALISI, hata ndani ya kifungo cha siku 90 cha gazeti hili, tunayo furaha kukutakia heri katika sherehe za msimu huu zinazoambatana na kuaga...
Kama kuna mtu mwenye mawasiliano na wanausalama wa Tanzania wowote aliye Malaysia naomba Contacts zake au unaweza kuwasiliana kwa +255716 494151 Msaada wa haraka sana unahitakija Ahsante
Mbunge wa zamani wa CCM jimbo la Mbozi Mashariki Edson Halinga(68) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumanne. Marehemu aliyekuwa akiishi mtaa wa Vilolo mjini Viwawa Mbozi alifariki dunia kutokana...
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.
Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake...
Dear all,
hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya...
wana JF nimepata taarifa muda si mrefu kuwa ndugu yetu Harry makange mtangazaji yule wa Channel ten amepata ajali mbaya ya pikipiki alikuwa anatoka nyumbani kwake asubuhi kule Kibaha akielekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.