Natauta nakala ya kitabu WIMBO WA LAWINO (nakala ya kiswahili).
Mwandishi ni OKOT P' BITEK.
Naomba yeyeyote atakayeweza kunijulisha namana nitakavyo pata nakala hiyo.
Kuna mdau amenitumia picha za mauwaji, haijulikani yametokea wapi but some where in Tz. Ni picha za kutisha (horror) kwa wale wenye nyoyo nyepesi.
Nimesita kuzituma humu kwa kuchelea lawama...
nauza laptop used 6 aina ya compaq evo n800c zina hali nzuri tu,
nauza sh 450,000
specification zake ni
pentium 4
windows xp pro
speed 1.60ghz
ram 256mb
kwa mawasiliano...
Waungwana,
Nachukua nafasi hii kuwataarifu msiba mkubwa uliomfika mwenzetu, Woman of substance, wa kufiwa na Baba yake mpendwa. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN na...
Wakuu wa JF,
Nasikitika kutangaza kifo cha Mama Fatuma Ndolanga aliyekua mkewe former chairman wa FAT, Al-haj Muhidin Ndolanga, kilichotokea hospitali India.Marehemu alikua anapata matibabu ya...
Kijana wa Kitanzania aliyefahamika kwa jina la Ali Ibraham, alimechomwa kisu na kupoteza maisha tarehe 27th December 2008
Marehemu anayekadiriwa kuwa na kati ya miaka 17 na 25 amekumbwa na...
heshima wakuu..
namtafuta terence mwakaliku,mara ya mwisho kuonana ni 5 years ago
tafadhali mwenye contacts zake anisaidie tafadhali.
shukrani in advance.
Kwenu Tanzania daima:
Ni siku ya sita sasa kila nikifungua mtandao wa Tanzania Daima (Tanzania Daima - Sauti ya Watu) naona una virusi.
Nimejaribu kompyuta tatu tofauti naona tatizo ni hilohilo...
Wana JF,
Naomba kwa wale walioko Dar es Salaam au una habari kamili ya bei ya hivi vitu vifuatavyo. Navihitaji haraka sana. Ntaomba iwe bei ya juu ambayo unaweza kuipata ili kutokuanguka...
Waungwana,
Kuna mtu yeyote hapa jamvini ambaye anafahamu kukorofisha scramble eggs? Kama yuko naomba darasa. Kuna umuhimu wa kuwa na forum ya mapishi ili akina Mama, Bi Mkubwa, Bi Ntilie...
Ndugu Wanajamii,
kuna Mtanzania mwenzetu mmiliki wa kampuni ya "Mambo Jambo (USA) "amekamatwa Jumapili ya tarehe 18/01 na kufikishwa mahakamani Alhamis ya tarehe 22/01 .Dhamana ya Mwenzetu huyo...
Flash pamojaa na memory card zinauza kwa bei rahisi
xmore memory card ya 1gb inauzwa kwa 25000
toshiba memory card ya 2gb inauzwaa kwa 35000
sony flash disk ya 2gb inaauzwa kwa 33000...
napenda kuwaomba wale wote waliopita Same high school ze desert tuwasiliane wote my idea is to plan for mkutano mkubwa kwa wote waliopita hapo.
no west or east home is the best
+255 787...
Natafuta ratiba ya vipindi ya TBC1. Ratiba ya wiki mzima, kutoka saa 12 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
Kwa anayejua hiyo ratiba, tafadhali naomba msaada.
Natanguliza Shukrani~
We've been together since 16th January 2007, it's a year now. You're one of the JF's Premium Members (supporters) and we do appreciate your presence on these forums. And on this 20th Jan, it's...
Kuna tangazo pale chuoni kwamba wanafunzi wa UDSM watapangiwa upya accomodation zao. Mengi zaidi yako hapa:
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
NOTICE TO ALL STUDENTS
Following the decision to require...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.