Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Hey ya"ll...Kelly01 is baaaaack!..... ANywhoo jamani namtafuta my long lost friend MS Kisura...nimejaribu kumcontact kwenye cell yake lakini naona ipo disconnected sijui amebadilisha...
0 Reactions
94 Replies
11K Views
Jamanieee!! Nahitaji starlet milango mitano kwa haraka sana. Iwe automatic, rangi grey au black au red, iwe ktk hali nzuri na isiwe imetembea zaidi ya km 100000. Kwa yeyote humu jamvini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Dr. Alan Rodgers, has died in the morning of Tuesday, March 31, 2009 in Milpak Hospital Johannesburg. He will be buried on 8th at Nairobi Lang'ata Cemetery! May GOD rest his soul in peace...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mimi ni mtanzania mwenye miaka 26. Nina interests ya kuwekeza na biashara. Natafuta financial coach au mentor mwenye interest kama hizo. Asante kwa ushirikiano. Anayetaka kusaidia please PM me...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mkereketwa wa CUF alikuwa pale yombo vituka kwa Limboa, amefariki dunia siku ya Ijumaa na kuzikwa Jumamosi kijijini kwao Bagamoyo! Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina!
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndugu wanaharakati wanachama wa TYVA,Napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya TUME YA UCHAGUZI ya asasi ya TYVA inayoratibu zoezi zima la uchaguzi kutangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa kutoa fomu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari inauzwa aina ya Suzuki Escudo milango mitatu. Ina usajili T991 ADQ Mwaka: 1993 Iliingia Tanzania kutoka Japan 2004 na imetembea kilometa zipatazo 130,000. Ipo katika hali nzuri sana na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Tafadhali mwenye simpo accounting program based on excel hata ikiwa ni ya kutengeneza mwenyewe anipatie. Nimeanza kuwa mjasiriamali wa uzeeni sasa mahesabu yanaanza kunichanganya. Thanks in...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
  • Closed
Wana JF kama kuna mmoja wetu anafahamu namba ya simu ya ofisi za Dar Express Bus ninaomba anipatie
0 Reactions
5 Replies
24K Views
habari wana JF Natafuta Nyumba ya kuishi maeneo ya Kurasini, Karume au karibu na mjini. Iwe ya chumba kimoja au viwili vya kulala pamoja na Nakshi nyingine muhimu ndani ya nyumba kama Jiko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waungwana, Nimeamua kuuza gari yangu, aina ya Mitsubishi Pajero Mini, ya mwaka 1997, 4WD, ambayo iko kwenye hali nzuri. Bei ni TShs 2.5 million, sishuki chini ya hapo. Nina shida ya hela, si...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakulu wa jamvi habari za siku. Nina shida mbili ambazo nitahitaji ushauri wenu, Hapa Tanzania ni kampuni gani inayotoa service ya Domain Registration kwa bei nzuri na ambayo siyo yakubabaisha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wadau nahitaji sana kuwapata maajent wa sony-bongo kwani natafuta sana remote control ya radio yangu (orijino) nimetafuta sana madukani nikakosa labda wanaweza kuagiza nje
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nimesikia Mr Khalfan Hemed Khalfan amefariki dunia na kuzikwa jana, ni mwanzilishi wa Zanzibar Association of the Disable.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jamii,. Niko hapa university of dar namalizia kozi yangu ya school of law, baada ya hapo ningependa kwenda kusoma masters nje ya nchi ili niweze kujifunza maisha,utamaduni na...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
HI ya"ll...I just want to let you know that nachukua likizo bila malipo kuingia hapa JF.....I have some business to take care and also i need to smell some fresh air...... You all have a...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wandugu Natafuta nyumba jijini Dar es Salaam kwa ajili ya familia (muhimu iwe yenye vyumba viwili vya kulala na parking). Naomba yeyote mwenye kujua au anayepangisha nyumba anitaarifu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kuna web designer kati yetu naomba anitumie PM. Shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Members, If there is anyone who has been through the army or at least JKT, could they assist me in this matter. I need the drill commands that we use for marching. I know some of them but I...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Salaam! Ninatafuta contacts za Chama cha Maalbino Tanzania na hasa viongozi wake. Yeyote mwenye kuwa nazo naomba tafadhali mnipitishie. Ni muhimu sana. Shukrani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom