World First for Tanzanian Biofuel Nut Project
14 January 2009
By Darren Taylor
Washington
Voice of America Pan Africa News
A revolutionary new development project in Tanzania is set to...
Kwa Moderators na Mello
Naona kuna matangazo toka makampuni yaliyo nje ya Tanzania. Naamini yanalipia matangazo hayo. Lakini ufahamu wangu ni mdogo, nadhani huwa site italipwa tu kama mtu...
nina rafiki yangu dar es salaam ambaye anatafuta passport kwa vile anategemea kunitembelea mwezi wa saba huku nilipo nje ya bongo,sasa kule uhamiaji anatakiwa aambatanishe barua ya mwaliko,naomba...
Latest Episode ya Prison Break itatoka lini au kama mtu anayo atumwagie hapa jamvini kwa sababu huku Tz latest version ni Episode 9 wakati zinakotoka wanadai ni Episode 4 nahisi hapa kuna wizi...
hiyo ni title ya riwaya ambayo bila shaka wewe mtanzania itakufaa na kukuamsha katika mengi, hali kadhalika kukuburudisha. iko pale chuo kikuu idara ya TUKI. unaonaje ukapata kopi yako ndugu?
Mheshimiwa na shujaa wetu, Hon Dr. Harrison Mwakyembe amefiwa na mpendwa Mama yake mzazi, kwa mujibu wa mtangazo ya vifo ya Radio Free Afrika monitored here in Mbeya this morning
Mpendwa marehemu...
Leo jioni nilipitia pale tawi la Yanga buguruni adjacent na shule ya msingi Buguruni kumsalimi mzee mmoja anaitwa Makumbi. Nikawakuta jamaa wawili wamekaa kwenye benchi wanapiga story...
Waheshimiwa nimetumiwa hii kitu nimona nishee nanyi. Natumaini huko bongo mambo yatakuwa si haba, Nakumbuka sana zile enzi zetu za kughani mahsiri shuleni sijui kama ile spirit bado inaendelea...
As received
Ndugu yetu ILYAS IBRAHIM afariki dunia
04/03/2009
Tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu ILYAS IBRAHIM ambaye amefariki dunia tarehe 03/03/2009 mjini...
Siwezi kuaccess JF nikiwa natumia net ya Zantel napata error
Network Error (tcp_error)
A communication error occurred: "Operation timed out"
The Web Server may be down, too busy, or experiencing...
URGENT: Please Circulate
Between 00:15 am and 06:00 am, Friday, February 27, 2009 (last night), smugglers these are no ordinary thieves meticulously broke into my house and stole the...
Wana JF na Wazalendo;
Karibuni Tujumuike Pamoja:
Kwa niaba ya TPN napenda kuwakaribisha wote katika Hafla ya Kujumuika Pamoja itakayofanyika siku ya Jumamosi Tarehe 28 Februari 2009...
Dear Members!!!
Mwanachama mwenzetu wa JF, anaefahamika kwa jina la Stone Town amefanyiwa upasuaji mdogo ktk paja ili kuondoa uvimbe uliokuwa namsumbua.
Mwenyezimungu amuwezeshe apone kwa...
Watanzania wote wanakaribishwa kuchangia habari za mahali wanapoishi au wanapotoka katika wikipedia ya Kiswahili. Ijulikane ya kwamba wikipedia ni mradi mkubwa wa elimu unaojengwa na wachangiaji...
Heshima Mbele,
Kam,a Mtakumbuka kipindi Flani Mkulu FMES(wazee wasauti za umeme) alieleza khali ya mgonjwa pendo magaruda.Kwa taarifa ambzo nimezipata toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa familia...
Wadau habari za hasubuhi,
Natafuta laptop used kuanzia pentium 4, Kama kuna mtu umesikia anauza au duka ambalo unafahamu wanaoziuza kwa bei nafuu nihabarishe kwa 0713943995 maana ningependa...
Ni uzembe au Ajari!? Akanyagwa na Catapilla akiwa kazini.
M/Mungu amuweke mahala pepa marehemu...!
Kama una roho nyepesi na huwezi kuangalia picha za kutisha tafadhari usiangalie. Ni...
Baada ya walimu: Mapolisi nao wala bakora
Posted Mon, February,16 2009
Source Alasiri
Leo ikiwa ni siku ya nne tangu Rais Jakaya Kikwete amfute kazi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Kanali...
Wadau ninatafuta link niweze download hii movie ya akina Dev Patel (slumdog millionaire na hii ya Kate Winslet (The Reader). Zimekuwa nominated mara nyingi kwenye British Academy Film (BAFTA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.