Miezi michache iliyo pita benki tajwa hapo juu wali introduce huduma ya SMS.
Kila mara utoapo pesa au kuweka ulikuwa unapta sms sekunde hiyo except kama unatumia visa card tofauti na benk...
Habarileo kama umeuona ujumbe wangu tafadhali tuwasiliane.
Na kama kuna mwanafunzi ambae anasoma Ukraine naomba pia tuwasiliane.
Email yangu ni chalu_pisces@yahoo.Com
Hello people,
Host your files and images for free on Pichaz.JamiiForums.com! Go ahead and upload any file you want up to 100 MB in size.
After uploading a file you'll get codes which you can use...
Pengine post hii hapa si mahala pake.If so,inaweza kuhamishiwa kunakostahili.Kwa sie tulio mbali na nyumbani,machapisho ya magazeti yetu katika mtandao ndio tegemeo letu kubwa (of course,JF ni...
Wapendwa Wana JF, Watanzania na wote wenye Mapenzi mema na Nchi yetu.
Nasukumwa kuwaomba kuwa Ijumaa hii tarehe 17 Oktoba 2008 tujitolee kufunga na kuiombea nchi yetu ya Tanzania.
Wataoweza...
Wakuu,
Nakuombeni mnitumie picha za wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afr. Mashariki. Naomba zile zinazoonesha umati wa wastaafu hao, na zinazoonesha mmoja mmoja -- hasa wale wanaoonekana...
ITV wanarusha tangazo moja matata sana,kwakweli limeni-impress sana.Ni tangazo ambalo ni extract kutoka kwenye hotuba mbalimbali za baba wa taifa mwalimu Julius Nyerere.Katika extract hiyo...
Baada ya kutoka na habari motomoto wiki iliyopita (Safari za JK Utata) na nyingine nzito, nimeamka nikikutana na email kibao za watu wakiuliza "Raia Mwema iko wapi". Je kumekuwa na upungufu wa...
This is from eThinkTankTz
From: S.L
Sent: Wednesday, October 08, 2008 12:49 PM
To: A.M
Subject: FW: MLALAKUWA BRIDGE.
Please read below and spread the word!
Dear All,
Yesterday...
Tsup hommies;
Nimeisoma hii shocking rumor post nikaona si vibaya nika-share na ndugu zangu wa JF.
Here it is:
Tanzanian singer TID is suggesting that he may have been sexually harassed in jail...
1) MARKETING PERSONNEL WANTED
Marketing Executive wanted.Should have an advance diploma,degree or masters.Should be experienced and trustworthy. Send your CV at atl2@cats-net.com CALL...
Nawasalimu wanamichakato, tafadhali kama kuna watanzania wanaoishi Providence, Rhode Island ningefurahi kufahamu kwani mimi naishi katika hii city.
Nawatakia Pilika njema za wiki,
I will be...
Tuna habari kuwa mzee Mfinanga wa Dar-es-Salaam amefariki dunia. Ni baba mzazi wa Ayub, Mtanzania mwenzetu wa hapa Detroit pamoja na ndugu zake West Coast na wengine hapa.London na sehemu...
Namuombea mke wa Rais mama Salma Kikwete ambaye yuko nje ya nchi (jina na hospitali vimehifadhiwa hadi serikali wakiamua kuwaambia!) kwa matibabu apone hima na kurudi nyumbani salama. Tunakutakia...
Je una nyumba Dar ambayo ni fully furnished yenye at least two bedrooms na hutakuwa ukiitumia katika mwezi wa october? Isiwe mbali sana na town centre na iwe na car park. Inahitajika kwa ajili ya...
Toleo la kwenye mtandao la Tanzania la Siku ya Jumapili lilikuwepo hewani kwa muda lakini baadaye leo baada ya kuingia la Jumatatu la Jumapili limetoweka. Sasa hivi ukiendana kurudi nyuma kutoka...
Tangu Bwana Mongi atangaze kwamba amelipwa na Bwana Saed Kubenea gharama za ku-host gazeti la MwanaHALISI, hakuna update iliyofanyika mpaka hivi sasa.
Nina ombi kwa Bwana Saed wa Kubenea kwamba...
Baaada ykupata PM kibao toka kwa wanaJF wanaotaka kujua kuhusu Taratibu za kuingia UK nimeona bora niweke wazi kila mtu ajue process inakuwaje
1. I'm in the UK on a 5yr WP and recently got...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.