Tunafanya Printing.
1. PICHA MBAO
2. PICHA ZA FREMU YA KIOO
3. SAA yenye PICHA YAKO
Picha kwa ajili ya KUMBUKUMBU yako, Familia.
Picha kwa ajili ya ZAWADI kwa Umpendae
Picha kwa ajili MAPAMBO...
We are looking for committed PMP aspirants who really need to ace the PMP Exams. We mean those who are capable to register for PMP exams and pay $555 (if Non-PMI member) and $405 (PMI member).
We...
Habari wakuu
Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar.
Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha, anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma.
Wakuu habari,
Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana.
Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho
cc 1490
Bei ni m6 inapungua kidogo
No 0715568585
Usajili no DHD
2WD
gari ni automatic
Hiki ndio kitabu kitakachokupa siri ya kukua kiuchumi,kibishara na mbinu za uwekezaji.
Bei ya Ofa ya sasa ni Elfu Tatu(3000) badala ya Elfu kumi bei yake ya kawaida.
Tunakutumia kwa njia ya...
Jamani kuna watu wanapiga simu wanaweka order za vifaranga mtu unatumia garama mwisho ukifika anazima simu naomba km huitaji kitu pita wenzenu hapa ndio tunapatia chakula na kulipa Kofi.
Pia...
Habari wadau. Nahitaji maziwa ya unga kiwango cha jumla. Yaani kama nipate mtu wa kiwandani ambaye ataweza nifaulishia wastani wa kilo 500 kila wiki.
Nani ana connection? [emoji848]
Nitumie jukwaa hili kuwaalika na kuwakaribisha kwenye mkesha mkubwa ambao wewe na jamaa yako hamtausahau kwenye maisha yenu yote kama anavyosema Apostle Boniface Godwin Mwamposa wa huduma ya...
NAUZA NYUMBA ILIOKAMILIKA UNAINGIA NA BAG LAKO LA NGUO TUH.
INA ROOM 4 - 2 N MASTER BEDROOM
SEBLE
DINING
JIKO NA STORE
PUBLICTOILET
UKUBWA WA ENEO SQM 700
NYUMA KUNA NYUMBA NDOGO - CHUMBA...
Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu
Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini
Nimetoa tahadhari...
Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani.
Haina hata mkwaruzo.
Haina kipengere chochote.
Ni milango miwili,
Inapooza na kugandisha
Bei 300,000
Contact : 0785214599
(...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.