Wakuu naombeni mniungishe
WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Hata pc moja nakupa bei ya jumla .
ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR ...
Tunapatikana Dar es Salaam, Kariakoo, Kisutu, Mbezi ya Magufuli na Manzese. Mikoani na nchi jirani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
Kwa mawasliano zaidi piga 0714528887 au tembelea website...
Habari wadau!
Bei za vitenge Kariakoo (java) wanauza 16,000/= - 18,000/= sometimes hivi wao watakuwa wanachukuwa kwa shilingi ngapi?
Kama kuna mtu mwenye uzoefu naomba anielekeze au hata kama ni...
Infinix smart 8
Imenunuliwa mwezi wa 7 mwaka huu.
RAM 3GB
Storage 64GB
Battery 5000mAh
Bei 220,000/= maongezi kidogo yapo.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Asante.
Wakuu, Sina haja ya salamu. Naitoa hii CLUTCH PRESSURE kwa bei sawa na bure, Niliiagiza mtandaoni ila imekuja ikiwa tofauti kidogo na ya kwenye gari yangu, hivyo naamua kuiuza kwa bei ndogo sana...
Wataalamu wa biashara ya vipodozi, ninaomba kusaidiwa mbinu mbalimbali za kupata maduka ya vipodozi vya aina zote yanayo-uza rejareja na mbinu za kuwafanya wawe wateja wangu kwa ajili ya...
Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na...
Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea...
Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management.
Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha...
Wadau Habari?? Nna youtube account yangu taarifa zake ni hivi ...
-It has 13usd, now it only needs identity verification.
-Has 4k+ subs
- per average it has 900 view Hours per every month since...
Karibu jipatie mafuta ya nazi yasiyochemshwa (cold pressed). Mafuta yanakamuliwa kwa hali ya usafi na nazi safi ambazo hazijaharibika. Unaweza kupikia au kutumia kutuamia yakiwa mabichi kama dawa...
QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida.
Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la...
Ilidondoka chini mishale inachomoka sehemu zake,kama kuna fundi anaihitaji kwa ajili ya kuirekebisha au kuitumia kama spare anitafute,aniandalie kitu kidogo
sent from kanyau
Habari zenu waheshimiwa! Tunatoa huduma mbali mbali za kidigitali ikiwemo kadi za mialiko kama vile za harusi, send off, michango, graduation, business cards, nk.
Achana na yale mambo ya kupanda...
Naomba mods msifute hii thread yangu
Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.