Utangulizi
Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka...
habari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano...
Habari
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu...
Jifunze computer programming,web development skills kwa bei nafuu,pia page development tutorial,na pia kupata vifurushi vizuri vya internet.Piga 0759124378
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji moja kati ya gari hizi
Toyota vitz, Old au New model
Suzuki swift Old au New model
Mwenye ist na rastic anakaribiswa
bajeti yangu ya 5M...
Kwa wakazi wa Dar....
Jiko la gesi plate mbili (Hotpoint), mtungi wa kg30 na pipe yake pamoja na meza yake vyote nahitaji 100000...mzigo upo tegeta piga 0783350399 kama unahitaji...
Tunasafisha masofa pamoja na sity za magari, makpti(mazuria) Tunakufata ulipo(nyumbani, officine) kukufanyia kazi yako, kwamawasiliano call, 0655556426 ata whathp👉
Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo...
Kuna mzigo wangu wa maharagwe ninazo Kg 600 nauza kwa bei ya Tsh 1800.
Usafiri Utalipia mzigo Upo Kasulu Kigoma.
Ni maharagwe mazuri yaliyovunwa Mwaka huu.
Follow this link to join my WhatsApp group: MAFIA ISLAND FESTIVAL
Hili ni kundi maalumu kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukuza utalii na uwekezaji nchini...
Natanguliza shukrani za dhati kwa waasisi na wadau wote wa ukurasa huu.
Tunatengeneza oda mbalimbali za unifoms za kufanyia kazi.
Naomba kuwakaribisha sana kwa oda mbalimbali, bei zetu ni...
Habari wakuu.
Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu.
Piga 0713 039 875
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.