Ulikuwa ni wakati mzuri kupata nafasi ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha (Hifadhi ya Pili kwa ukubwa Tanzania)inayopatikana ndani ya mji wa Iringa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Uhasibu...
Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za, The Horizon ndani ya mji wa Bagamoyo ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya Christmas, ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali...
Simu ndogo aina ya i 17 Pro 45,000 TZS.
Sifa za simu:
1. Inatumia laini mbili
2. Ina trey ya kuwekea laini
3. Betri yake ipo ndani kwa ndani
4. Ina pin ya kutolea laini
5. Inakaa na chaji muda...
Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (0687746471)
Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi.
Namba zangu za simu ni 0687746471...
MAHITAJI YA BIDHAA ZA UBORA MADUKANI!
Ndugu Mfanyabiashara,
Tunapenda kukuletea bidhaa bora kabisa kwa ajili ya duka lako. Tunazalisha na kusambaza bidhaa zifuatazo:
Mafuta ya Nywele ya Asili...
Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia.
Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe...
Habarini wana jukwaa.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejichanga changa, mungu kasaidia nimepata kitu kidogo, nimeamua ninunue usafiri kurahisisha shughuli zangu.
Natamani nipate gari...
Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku.
Na accessories mbalimbali:
#Remote control, #Antenna Cable
#HDMI ( mita moja Hadi 20)
#LNB #TVstand, n.k
Pia tunatoa huduma ya...
Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.
Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya...
Wakuu habari
Natafuta power tiller la kukodi, Nina eneo langu dogo tu la kulima bustani , kama Kuna mtu ana power tiller naomba anikodishie
Eneo la kazi ni Kimara, dar es salaam
0616274277
Habari wana JF? natafuta mtu anaejua kihadzabe au aliokaribu na jamii ya kihadzabe nina kazi ya kutafsiri kutoka kihadzabe kuja kiswahili.
naomba tuwasiliane 0759702766
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.