Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Laptop Inauzwa Ni SAMSUNG LAPTOP RAM 4 GB Processor 2.4GHz HDD 360GB Betri yake nzuri sana inakaa na chaji masaa 4 Bei ni 260,000 Location ni Dar es salaam, Mbezi mwisho. Mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
265 Views
Utapata logo kwa ajili ya matumizi yako binafsi, taasisi, biashara, kampuni n.k. kwa Tsh. 30,000/= Tu ndani ya siku 1 hapa hapa jf ama ukipenda whatsapp: 0767 402964. Logo utatumia kutengenezea...
0 Reactions
2 Replies
767 Views
CHRISTMAS SPECIAL🎁 Date: 25th, DEC 2024 The Horizon Beach 🏖️ Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za "The Horizon" ndani ya mji wa "Bagamoyo" ikiambatana na kusherehekea sikukuu...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
1 Reactions
5 Replies
520 Views
Wapendwa wapi ninaweza kupata shamba hata kama sio kubwa saana lakini maeneo hayo hapo niliyoyataja na je nitapata kwa bei gani.
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Habari waungwana. Nina mzigo nahitaji kusafirisha kutoka Morogoro kuja Dodoma. Naomba mwenye kufahamu wanaosafirisha mizigo wanijulishe. Shukran
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kiwanja kipo Kiegeya (Mkundi) Morogoro Kimepimwa na kina hati ( documents ) za malipo halali ya serikali na wizard ardhi Kinafikika kwa hali zote Ni kiwanja no 3775 Bei Tsh.2.5m Njoo Mazungumzo yapo
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Nina viwanja Chanika na Mbezi Beach Salasala. Kiwanja cha Mbezi beach kina thamani ya ml 30, na cha Chanika thamani ya 18m. Nataka gari aina ya rumion. Gari iwe imesimama. Nampa mtu kimoja kati ya...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Device name Dell Processor 11th Gen Intel(R) Core(TM) i5-11320H @ 3.20GHz 2.50 GHz Installed RAM 8,00 GB (7,74 GB usable) Device ID 3AB66106-97E6-4B71-83A9-AF26F47DD0D5 Product ID...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond...
0 Reactions
2 Replies
221 Views
Habari zenu Wakuu, Nauza SmartTv ya TCL inch 32 kwa 270,000 tu! ISHAUZWA TAYARI!
0 Reactions
4 Replies
428 Views
Tunaamini kwamba bidhaa zako ni bora na zina thamani kubwa kwa wateja wako. Ndio maana tunahakikisha kwamba tunatoa huduma ya kipekee ya kubuni lebo nzuri ambayo itaongeza thamani ya bidhaa zako...
2 Reactions
8 Replies
476 Views
Habari wadada na wakaka. Nauza kinanda Cha studio ni kama kipya kinatumika kutengenezea muziki yaani MIDI Controller. Kinatumia sauti za program ya computer mfano cubase nk kupata sautii za aina...
2 Reactions
5 Replies
309 Views
Nauza laptop yangu ambayo nimekuwa nikitumia kwenye mambo yangu ya maswala ya IT. Ipo vizuri, japo kuna marekebihso kidogo utakachofanya, ni marekebisho ambayo hayaathiri utendaji wake, ni...
0 Reactions
8 Replies
445 Views
Natafuta mtu anaeuza magazeti ya vifungashio kwa bei ya jumla kama yupo humu anicheki WhatsApp
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wakuu. Natafuta kazi za kuedit research, papers, proposals, business plans, vitabu etc. Kazi zangu ni nzuri. Pia Nina andika project proposals na business plans kwa Bei nafuu Sana. Nipo Dar.
0 Reactions
0 Replies
175 Views
USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara...
1 Reactions
5 Replies
595 Views
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako. Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu: 🔹 Huduma ya Logo design...
1 Reactions
8 Replies
716 Views
Back
Top Bottom