Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Brothers ICT solutions tunatoa huduma zifuatazo, Kuweka Windows ( 7 ) (8) (8.1) (10). Mac OS, na Ubuntu. Tunarudisha data zilizopotea au kufutwa kwenye pc, Flash, au External Hard drive. Tunatoa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za leo wanajukwaa. Nnauza Pikipiki yangu niliyokuwa naitumia kwa matumizi binafsi, ni TVS Apache RTR 160. Ipo vzr haina tatizo lolote, nipo nayo huku Morogoro ila ukiihitaji kwa Dar...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwa yule ambaye ni supplier wa mafreezer hususani ya mitumba naitaji freezer moja au pengine ni mtu anayo anauza yenye sifa zifuatazo. Sifa zake Iwe na ukubwa wa kugandisha samaki kuanzia kilo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wana JF, Ninahangaika kutafuta heater au kifaa kinachoweza kuongeza joto nyumbani. Kama ilivyo AC inavyoweza kufanya baridi. Nimepata ambayo ina-function mara mbili, inaongeza barid na...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu salamu Nahitaji IST yenye Sifa zifuatazo haraka iwezekanavyo, kama unayo na unauza njoo PM. •1490 cc or above. •Rangi Silver or White •Rim Sport •Sportlight •Fogg light •Isiwe na mkwaruzo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini ndugu na marafiki, Sote ni ndugu kwa sababu sote ni watanzania kwa hivyo sio vibaya wakati mwingine kusaidiana. Sasa leo hii nimeamua kutoa ramani ya bure kabisa ili ukajenge...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wanajukwaa mimi naishi Dar. Nasumbuliwa sana na vibaka kutokana na ugumu wa maisha wanahangaika kutafuta chote cha kuiba. Nimeamua nifuge mbwa kwa ajili ya kuniamsha wakiingia. Mwenye pupy wa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Clean the courtyard Cleaning private cars,wash trucks,wash the farm, washing factory, car washing machinebei ml.4.50000 hiyo ya blue Nyeusi m.7 na nusu Na hii kubwa ml.11 shipping company FedEx...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Year of Manufacture: 2001 Capacity: 1990cc Mileage: 96,000kms Location: Upanga Price: 10.7M Contacts: 0717436363 *Gari kali sana*
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BEI NI LAKI 8 INA MATANGAZO KWA MAWASILIANO NICHEKI NAMBA 0772786405
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipeni chaka la hiyo boot nipendeze, smart brainy lazima niwe na smart boot
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Mzigo unapatikana kongowe ya mbagala! Ni sofa nzuri kabisa za watu 7. Muundo wa kisasa kabisa. Bei ni 450,000/= Piga namba 0785753780
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ipo mabibo dar es salaam ina crack kwenye kioo na shida na ela ya haraka kidogo ni nzima na kila kitu kinafanya kazi kwa weledi wa halu ya juu
0 Reactions
8 Replies
996 Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata iwe na fence pamoja na parking, maeneo ya kwa bibi kurudi aroma budget yangu ni tsh 300k
2 Reactions
0 Replies
822 Views
Enewei...Ni fundi urembo wa urembo wa Dirisha Urembo wa nguzo Urembo wa fensi Urembo wa kona au pembe za nyumba! Nipo Temeke DSM na popote Tz nakufikia Simu : 0789005562
3 Reactions
4 Replies
3K Views
NEW Car Diagnostic tool ECU Coding Full Code Reader Scanner tool inauzwa, inasapoti model ya gari zaidi ya 140. Ina 1. WiFi,kwaajili ya file sharing or internet sharing. 2. ina Tablet ya Inc...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, Natafuta mtu mwenye wazo bora la biashara tuweze kufanya kazi, biashara i-base katika mambo yafuatayo: 1) Kutatua matatizo ya Jamii. 2) Kuwafikia Watanzania wote either kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibu Deep Media Digital Agency ujipatie website bora kwaajili ya biashara yako Kwa Tshs 450,000 tu unaweza kumiliki Website ndani ya siku 5. Ofa hii inajumuisha yafuatayo Utapata muonekano wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kitanda cha futi 5x6 (mbao ya mninga) pamoja na godoro lake (Dodoma QFL) vinauzwa kwa pamoja. Bei: 220,000/=. Mawasiliano: 0755 831576
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom