Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
clean condition NISSAN NAVARA PICKUP for sale cheap price Full documents,new tires REG-DJL YOM-2009 Cc-2488 Km-100060 Fuel-diesel Only for Mil. 22 Location DSM Call; 0768540772 SOLD SOLD
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga mjini km4 kutoka stend mpya Urefu 27m Upana 22m kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji ili viwanja vipimwe na kupewa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ewe mkazi wa Dar es salaam karbu tukuhudumie Mchele safi toka kyela. Tutakuletea mchele popote ndani ya Dar es salaam kwa bei 1400/Kg hapo ni pamoja na gharama za usafiri. Kwa mawasiliano zaidi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau natafuta Nyumba ya kupanga maeneo ya Chanika Dar. anaye fahamu nijulishe tafadhali
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba iwe nzur self-containe , vyumba v3 jiko, choo, stoo na iwe na mazingra mazur. Bei laki moja kwa mwezi.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Pata jiko Janja uokoe gharama ya matumizi kwa hadi asilimia 80%. -Tumia kuni moja tu kupikia. -Tumia sodasti na mkaa. -Halitobi Sufuria. -Linatumia kigae kinachotunza joto kwa zaidi ya saa 4+...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa habari za wasaa. Naulizia wapi naweza pata hili tunda la strawberry. Mimi niko Dar es salaam, napenda kujua bei ni shingapi kwa sababu nataka kwa jumla niwe natengenezea yoghurt.
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimefanya kazi nyingi na nina uzoefu wa hali ya juu sana naomba kazi ya kupauwa nyumba yako napatikana Dar es salaam namba:0753540602 Pia nafunga gypsum vzuri sana Baadhi ya kazi zangu katika picha
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Hiyo ndio bajet yangu kama unayo nicheki... Iwe external au internal sawa tu Gb 1000 Isiwe na shida Pia kama una digit camera isizid laki nicheki
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Huawei P30 lite Used abroad Rom 128gb Ram 4gb 490,000 Tu 6 months warranty [emoji338]0676175260 [emoji736]Kariakoo Agrey & Msimbazi. [emoji736]Free Delivery Dar es Salaam Instagram @...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
PUNGUZO KWA ASILIMIA 50% EARPHONE OG KWA 5000 DELIVERY IPO Earphone Original za Samsung Mnaojua hizo earphone mtakua mashahidi moto wake ni wa kuotea mbali sisi tunazo og kabisa - Zinakubali kwa...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
PUNGUZO KWA ASILIMIA 50% EARPHONE OG KWA 5000 DELIVERY IPO Earphone Original za Samsung Mnaojua hizo earphone mtakua mashahidi moto wake ni wa kuotea mbali sisi tunazo og kabisa Zinakubali kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa uuzaji magari nahitaji Canter au Dyna Tani mbili, Diesel, box body yenye hali nzuri sana, namba D au isiyosajiliwa, mwenye nayo awasiliane na mimi kwa namba 0756182677. Bajeti yangu ni...
0 Reactions
5 Replies
767 Views
Karibu ujipatia Capert kwa bei sawa na bure ina ukubwa wa futi 9*6. Utajipatia kwa elf 90 tu. Wahi yakwako zimebaki chache; watsup 0719884746
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mchana wakuu, natumaini muwazima wa afya, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kununua simu ya kusogeza maisha sasa embu wajuzi wa mambo mnishauri nitapata simu gani kwa hiyo hela?
2 Reactions
54 Replies
5K Views
[emoji817][emoji95][emoji817][emoji95][emoji817] [emoji736]STAR-X LED TV [emoji736]INCH 32 [emoji736]BEI 350,000tsh [emoji736]FREE DELIVERY [emoji598] KWA DAR NA MIKOANI TUNATUMA [emoji736]TUPO...
1 Reactions
8 Replies
904 Views
Wadau naomba mwenye connection ya magari yanayojihusisha na usafirishaji wa mizigo kutoka Mwanza kwenda Babati tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za humu jamvini. Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya Kisesa au Igoma. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
IPO MJINI CHAMAZI KWA MKONGO KWA MILLION 40,000,000 UKUBWA WA ENEO SQM 400 HAIKO MBALI NA BALABALA KUU WHATSAPP:+255 7 69 89 77 79/+255 6 28 00 82 18 NIPIGIE:+255 6 84 23 03 99/+255 7 10 01 32...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari Wakuu. Natafuta eneo Masaki kwa ajiri ya biashara ya hotel (Restaurant) inaweza ikawa hata nyumba ya chini nasi tutarekebisha mazingira kuweka muonekano Mzuri kwa ajiri ya biashara hiyo...
1 Reactions
2 Replies
632 Views
Back
Top Bottom