Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wilaya za Karagwe na Kyerwa sasa wananchi wamekuwa maarufu kwa kilimo cha chia,soko ndo limeanza kuwa tatizo kwa wale ambao mnahitaji chia kilo moja ni tsh 15,000/=tuwasiliane kwa namba 0622 296251
0 Reactions
111 Replies
42K Views
Habari za leo wakuu, Kama nilivyo ahidi kwamba bado naendelea na mradi wa uchoraji wa ramani. Ambapo nimefanikiwa kuchora ramani za nyumba 20 mpaka sasa. Na hii ni moja ya nyumba moja ambayo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari naitaji ramani ya nyumba vyumba vitatu na sebule chumba kimoja master then public toilet kiawanja ni sq 15/15 kipo arusha pia ni flat hakuna mwinuko hata kidogo pia nipate kujua vifaa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Eneo la ukubwa wa ekari 10 Kibaha kwa Mathias Msangani Km sita toka Morogoro Road. Limepimwa. Kila eka moja milioni sita. Zuri kwa makazi, kilimo, ufugaji, kujenga shule n.k. Mawasiliano...
2 Reactions
1 Replies
944 Views
Laptop mpya kabisa inauzwa Lenovo thinkpad ...gb 500hdd...core i 5 ... Inauzwa shilingi za kitanzania 650.000/= Serious buyer ani PM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza PC Hp imenunuliwa mwaka 2019 Ram 4 GB , Processor Intel core (Tm i5-421ou CPU @ 1/70 GHz ROM 500GB Ina matatizo ya betr ila ukitaka na betr yake mbovu bei ni 300,000 ila ukitaka pia...
0 Reactions
2 Replies
627 Views
Iphone 6s 64gb inauzwacna mimi Kigogo...anayetaka anai pm tufanye biashara kabla jua halijawa kali Asantiii
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Kontena ft 20 linahitajika kwa mwenye anauza tafadhali wasiliana nami 0743941142 uje na picha whatsap tuongee biashara!
1 Reactions
1 Replies
494 Views
Crown Bmw series 3 ya mwaka 2006 Mercedes Benz c-class ya 2006 Kama utakua na moja kati ya hayo njoo inbox tuyajenge..... NOTE: offer ni ya uchumi wa kati 10m, lakini ntaongeza kama gari ni kali
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Wakuu, naomba kufahamishwa soko na bei ya madini aina ya ruby kwa Dar es Salaam na Morogoro
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Wana jamii Tafadhali Nilikua nahitaji kama kuna mtu anaefahamu Bei ya Zile rangi kwaajili ya kuprint T shirt, na kama atakua anajua mahali zinapopatikana, pamoja t shirt plain zenye bei rahisi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari I wana JF kama heading hapo ninapenda kujua gharama za kukodi ndege ndogo kwenda Zbar or any where mkoani. Kwa mnaofahamu gharama zikoje na makampuni gani ya natoa huduma hizo! Naomba kujuzwa.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wapendwa tunauza vyombo vya ndani au kwenye matumizi ya migahawa na hotels Bei zetu ni nafuu Sana sample nitakazotuma ndizo zilizobakia kwa atakaehitaji tafadhali WhatsApp me 0763772636...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauza mayai ya kanga kwa jumla na reja reja, yanafaa kwa kuangua vifaranga vya kanga pia. Bei ni 19,000 kwa trei moja. Napatikana Dar es Salaam ila kama upo mkoani nakutumia pia.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habarin za muda ,poleni na majukumu. Naomba kufahamishwa bei ya bouyer ( water float switch) linauzwaje
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gari ni ya biashara, haina tatizo lolote. Inafanya kazi mpaka muda huu. Wasiliana nami kwa namba 0769917961. Kwa uhakika zaidi njoo na fundi ili kujihakikishia ubora wa gari. Karibu. Year of...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakubwa habari za mchana huu,poleni kwa majukumu ya kila siku. Mwenzenu nilikuwa na duka mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mishi la kuuza simu pamoja na vifaa vya simu yaani chaji za simu, earphone...
2 Reactions
1 Replies
878 Views
Habari za Jioni wana Jf Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey Niko Mwenge opp na TRA aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh Asante
0 Reactions
4 Replies
614 Views
yeah
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom