Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa.
Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na...
Habari
Naiuza hi power mixer ya Yamaha g4 in njia nne yaan maiki nne kwa wakati mmja ina power ya kutosha inachukua speaker kubwa kuanzia watt 300 ..kwa wazee wa kurekod ipo fit hata wazee wa...
Kwa wote wanaohitaji ushauri juu ya ujenzi wa nyumba za:
Makazi
Biashara
Sherehe na Ibada karibuni sana.
Najenga kwa Bei rafiki kulingana na mazingira ya mtanzania.
Pia natengeneza mfumo mpya wa...
Drone Online Ads, ni kampuni ya matangazo inayowasaidia wajasiriamali na wafanyakazi kupata viwanja. Kwa sasa, imeungana na Kampuni za ujenzi,ambapo inakupa nafasi ya wewe mmiliki wa kiwanja...
Habari.
Laptop inauzwa kwa bei nzuri sana, imetumika ila ipo katika hali nzuri sana.
BEI:500,000/=.
Mahali:Dar es salaam. Utatumiwa kama upo mkoani.
Aina:
Core i 5 4gb Ram hdd 500GB
Hp probook 450...
Boresha biashara yako Kwa machine bora zipo deep fryers zenye ubora Bei za fryers
Single fryer 6L ya umeme laki moja na 50 tu
Double fryers za umeme 6L laki mbili na nusu tu
Za gesi
Fryers...
Fremu ambayo haijakamilika (ipo kwenye lenta) kama inavyoonekana pichani inauzwa. Ipo Morombo sokoni, Arusha. Ukubwa mita kumi kwa tano (10x5). Bei shilingi milioni mbili na laki tatu (2,300,000)...
Nauza pikipiki yangu aina ya TVS Star HLX 125 (engine capacity 125), made in India , imetengenezwa 2017. Pikipiki iko kwenye hali nzuri, haijawahi kufunguliwa engine na naitumia kwa matumizi...
Aina ya tyre tulizonazo
Name Size Pattern Price
Steer/Trailer. 385//65R22.5. 396. 545,000/=
Diff/Drive. 315/80R22.5. 700. 475,000/=
All Position. 315/80R22.5. 300. 450,000/=
7.50-Diff/Drive...
Tunauwa wadudu wote wanaotambaa, wanaoruka n.k, wadudu ndani ya nyumba na mazingira yanayozunguka nyumba yako, kwenye maua, miti n.k. Tukikuhudumia, wadudu kwako itabaki historia. Wadudu wa kila...
Habar Wana jamvi ni matumaini yangu hamjambo.
Niende kwenye maada juzi polis wamekamata pikpik ilikuwa na mdogo Wangu kwa kosa la kutokuwa na leseni walivyomsimamisha yeye akaunga kwa kujua kuwa...
Hello wapendwa karibuni mniungishe katika biashara yangu mpya nipo kutafuta mtaji wa kuanzisha catering ya kisasa ila nimeona nianzie huku kwanza.
Bei zangu ni kama hivi:
Makande + salad +...
Habari!
Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu...
Pata shuka new model kwa elfu 35 tu ukubwa ni 6.6×7 King size utapata shuka 1 na foronya 4. Wasiliana nasi 0719884746 Tunapatikana Ukonga Ukonga Magereza.
-Nyumba inapatikana Tabata Kimanga
-Vyumba vitatu kimoja ni master
-Sebule
-Mahala pa kulia( dinning hall)
-Choo na bafu la jumuia
-Sakafu ya vigae
-Kiwanja kina ukubwa wa 500 sqm
-Kiwanja kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.