Habari wapendwa!
Kuna jamaa yangu ana uhitaji kibiashara hana mtaji wa hela ila anataka gari aina ya Alphard no E iliyo katika hali nzuri kwa ajili ya wazo lake kibiashara.
YEYE:
Kiwanja 30 kwa...
Wakuu . Natumaini mko poa!
Hivi kwa maeneo ya pembeni ya mji Moshi au Arusha nikitaka kiwanja kinachofaa kujenga nyumba ya kawaida tu eneo dogo labda vyumba vitatu basi
Niandae kianzio kama...
Anna Kashindye, mwanamitindo maarufu, akiongoza wageni kupita katika banda la Kampuni ya Coca-Cola kwenye Tamasha la Chakula lililofanyika The Green Park Oysterbay, Dar es Salaam, mwishoni mwa...
Kama kuna dogo yoyote ambaye ni mhitimu wa fani ya Usanifu majengo....
Mwenye uwezo wa kufanya 2D na 3D render,
Amemaliza kuanzia mwaka 2020
Anicheki inbox chap chap
Hapa ntakuwa napost viwanja na Nyumba zinazouzwa pamoja na Nyumba zinazohitaji wapangaji.
Karibuni.
ENEO NI ZURI KWA APARTMENT AU MAKAZI BINAFSI
LIPO SINZA A KARIBU NA APARTMENT ZA DELINA NA...
Jipatie simulizi za kijasusi
Ambola
Mwamba
The last chapter
Scandal
The football
Peniela
Queen monika
Miss tanzania
Capture or mission
Kiapo cha jasusi
Kikosi cha siri
Dear mathew mulumbi
BY...
Habari,
Tanga kunani palee
Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo.
Chumba kiwe na choo ndani
Bajeti yangu 70k kushuka chini.
Habari nimekuletea mfumo wa maauzo "POS" ulio bora na
unaotatua changamoto za moja kwa moja kwa waendeshaji na
watoa huduma wa bidhaa kwa uhalisia kama zifuatvyo;
(i)Umeme ukikatika ghafla hauna...
Tunatoa huduma za ujenzi..
1. Ramani za nyumba
2. Usimamizi wa ujenzi
3. Mabango ya ujenzi kwa wanaojenga magorofa
4. Ukadiliaji wa gharama za ujenzi
Tucheki kupitia namba 0687732666 / 0712006246
Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki...
Wakuu habari, nina bajeti ya milioni 7 nahitaji kiwanja maeneo ya Kibaha mail moja Kiwe at list KM3 mpaka tano kutoka stendi, naamini humu kuna wenyeji na wenye viwanja maeneo naweza pata...
Habari wakuu!
Nimeelekezwa na mtu kwamba Zanzibar (visiwani) dagaa nyama wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa / ndoo ndogo na kuendelea. Please! Nahitaji connection ya muuzaji hao dagaa aliyeko...
Hello wana jamvi kwa wale wanaohitaji kuanzisha bakery au Hotel na mgahawa mashine zote unazipata dukani kwetu tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi.
Mashine zetu zote zina waranti pia bei zetu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.