Tajiri yupo Dar es salaam. Ananunua Kontena za Ft 20 na Ft 40. Ziwe katika Hali nzuri. Baada ya makubaliano, Usafiri ni juu yake. Atasafirisha kontena zilizopo Nje ya Dar es salaam. Zinahitajika...
Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili...
Habari
Nauza kamera tajwa hapo juu. Iko katika very good condition. Nilikuwa naitumia kushuti video za kitchen parties nilizokuwa naandaa. Haijatumika muda mrefu nimenunua ya juu yake ambayo ina...
Jipatie Smart watch Original leo
1. Smart watch na earpods
- unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th
2. Smart watch mbili na mikanda yake...
Jinsi Kuandaa Mkataba Wa Malipo Ya Awamu Ya Kiwanja (Land Installment Contract)
Maana Ya Land Installment Contract
Land installment contract (kwa Kiswahili, mkataba wa mauzo ya ardhi kwa awamu)...
Salaam,
Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu)
Mwenye nalo njoo DM.
=65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
🔊 MziKi mNeNE 🔊
*Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki.
Ina
Bluetooth
FM...
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
Wateja wetu ambao mliweka oda ya incubator za body ngumu [hardboard] za mayai 120,528 hadi 10000 mzigo tayari umefika karibuni mifugo plus mjipatie wahi material ya sasa ni imara na magumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.