Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Vifaa hivi vyote vinauzwa. Ilikuwa ni kama Library lakini biashara haikuwa nzuri hivyo Ofisi inafungwa. Kama kuna mteja anaweza kuja kuvinunua hivi vitu,kindly naomba tuwasiliane. 1. Display...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau nahitaji ideas kuagiza iPhone 7 through Amazon/Alibaba kununua nchini ipi nafuu? Pia specifications zipi muhimu nisijeuziwa mche wa sabuni komoa! Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wadau, Tunahitaji mfanyakazi wa usafi wa ofisini kazi kubwa ni kusafisha ofisi na samani za ofisini.Ofisi ipo Upanga maeneo ya Muhimbili - Dar es Salaam.Tutafurahi zaidi kama amepitia...
1 Reactions
1 Replies
809 Views
Android application development kwa yeyote mwenye uhitaji wa kutengenezewa application ya android kwa matumizi ya kiofisi,binafsi and other uses anaweza kuwasiliana nami nkamfanyia mpango,pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninahitaji gari aina ya porte kuanzia namba D Iwe nzuri , bajet yangu ni milion 5 cash , Mwenye nayo anione inbox tumalize biashara Asante
0 Reactions
2 Replies
2K Views
size - 4.7gb 4 (10 pack ) @ 5000 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Habari.. Moja kwa moja...nahitaji hard drive ya laptop ya 1TB iwe internal au external..iwe sata... Nawasiliana.
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Habari JF. Nimepata transfer kuja Morogoro kikazi mjini ila sina wenyeji hapo kabisa hivyo naomba kujua gharama za chumba kimoja ambacho ni self container pawe na maji na security nzuri naweza...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Toyota Harrier new model Reg DES Cc 2360 Ya mwaka 2007 Good condition Full paid Full documents Bei Kama Bure ml 16,500,000/ Maongezi yapo kwa serious customer. Contact : 0764320475 NB: Gari...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Wadau wa JF, amani na upendo uwe Nanyi! Nimekuja kwenu nikiwa nahitaji Compressor Mashine kwa ajili ya kutobolea mawe (drilling) ambayo baadae nitayavunja kwa baruti Kisha kuyauza kwa wateja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sale Sale Bought new from Japan/ All in Good Condition/ Ni Vifaa vyote vya kufanyia kazi/ Vifaa vilivyopo; -Tyre Changer, -Compressor ujazo litre 500. -Charge betri yenye uwezo wa kucharge...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Generator 6 zinauzwa kwa pamoja ...brand ni FG WILSON. Zimetumika kwa muda wa miezi kumi(10) hazina tatizo lolote Full automatic Capacity: generator 4@ moja ina KV 30 Na generator 2 kila moja ina...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wana jamii? Kwa mara nyingine, napenda kuwatangazia wale wapenzi wa riwaya za kipelelezi kuwa vitabu aina nane vya Joram Kiango vilivyoandikwa na marehemu Ben R. Mtobwa sasa...
2 Reactions
4 Replies
8K Views
Kwa mahitaji ya poster za events mbali mbali tucheki kupitia 》》》》 [emoji3513] 0656461960 》》》》》 Bei yake ni elfu 30 tu! [emoji389]. Karibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni tupo Kinondon popote ulipo Tanzania tunakuletea , za wakubwa elf 70 za watoto elf 50. 0752976792
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ongeza ujuzi wa kompyuta na mtandao. Lengo langu ni kukuongezea wewe ufanisi katika shughuli, biashara au miradi yako unayoifanya. Pia unaweza kujiajiri kwa kusoma kozi mbalimbali ninazozitoa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar. Wanajf natafuta hii mashine ya kuvunia mpunga kwa mwezi ujao. Mwenye nayo au Kwa anayewafahamu wanaozikodisha please tuwasiliane 0714306015 au anpm
0 Reactions
1 Replies
822 Views
This Warehouse Available For SALE; Located at Chang'ombe Industrial areas. Size; sq. Meters. 2 Offices, Washrooms. Ample Parking slot; Ideal for light industry, storage, e.t.c Location...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, naomba aliye na simu aina ya Samsung, Huawei au iPhone tuwasiliane nahitaji simu ya haraka sana bei isizidi kilo 4.5 Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto Majohe Vyumba vinne Master 1 Sitting room Dining room Store Public toilet Parking kubwa Uzio wa ukuta Maji kisima. Bei @200,000 kwa mwezi Mawasiliano 0744756127...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Back
Top Bottom