Habari ndugu zangu naitwa peter jonas,nimemaliza chuo cha ualimu,astashahada elimu msingi....natafuta kazi yoyote ya kufanya
Namba zangu ni 0623572845...nipo morogoro
Sent using Jamii Forums...
Ina vyumba vitano ndani na vitatu nje. Ina eneo kubwa sana kwa nje gari inafika hadi mlangoni.
bei mil 45 maongezi yapo
0678096545
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni mnisaidie maana nisije ibiwa,
Mimi na rafk yangu nilisomaga naye shule ya msingi ila yeye yupo mombasa kwa sasa hivi yeye na familia yake, huwa tunachat ila siyo sana. Juzi kati...
Do you want to start any of the following 60 businesses?
Maize Milling - 71 pgs
Real Estate Agency - 42 pgs
Petrol Station (Independent) - 47pgs
Motorcycle Spare Parts Retail -33pgs
Imaging...
Nahitaji kitanda 5/6 kama nilivotaja hapo juu. Ofa yangu ni TSH 90,000/= tu. Njoo PM kwa maelewano zaidi
NB: Napatakana Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamvi naitaji kwa mwenye vifungashio vya huhifazia nyama ya kuku
Aniambie anauzaje kifungashio kimoja na label pamoja na design atanifanyia kwa shilingi ngapi
Mimi nipo Moshi naomba...
Habarini wakuu, nahitaji kununua mzigo kwa bei ya jumla kariakoo.vitu navyohitaji ni simu, vifaa vya simu kama charger, earphones, bettries, charges na vifaa kama remotes etc. Mwenye kujua duka...
Wajasiliamari, wazee wa Food point, mihogo point, juice bar, pizza point, Modern Carwash, Gadgets, Barbershop, Movie pack, Restaurant nk
Sehemu ya around Palm Village Mall mikocheni warioba...
Brand new 7 inch digital car radio
2019 design
Mp5 player
Screen touch
Ina camera ya reverse
Bluetooth
Inasupport USB na Memory Card
Mirror link with phone
Nauza hata piece 1 kwa bei ya jumla...
Ni wapi naweza pata water pump inayotumia umeme wa solar (dc).kisima changu kina urefu mita 160
Zinapatikana wapi jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari aina ya tata linauzwa bei ni milioni 38 gari ipo kwenye hali nzuri sana gari linapatikana Kigamboni kwa mwenye uhitaji.
Make; TATA
Model: LT
Model number: 909
body type; bus
engine capacity...
Nauza nano liquid screen protector
Bei: 200,000
Mahali ilipo: Ubungo/Kibo (dar es salam)
Accesories zake ndani kuna:
1. Power bank
2. Liquid zenyewe vipo vichupa 6 (bei ya kimoja kikiisha ni...
Habari zenu ndugu Watanzania...ninapenda kuwatangazia mabadiliko katika menu ya kifurushi cha chuo yaani Boom pack (TTCL).
Awali huduma hii ilikua inapatikana *148*30# kisha unachagua 9.Boom pack...
Habari wakuu. Vifuatavyo vinauzwa:
Laptop mpya lenovo, 320gb, 4 gb ram, 4 hours battery -295,000
Min laptop , ya kuunganisha na umeme direct - 150,000
viti vya plastic...
Habari za sasa wana jf, nmekua nikitamani Sana kununua pikipki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi, Mimi sio mzoefu Sana kwenye haya mambo na hivyo nikaona naweza kupata msaada apa jf. Mpaka sasa...
Ni mashine zinazotumia teknolojia mpya ya kufanya kioo cha simu kiwe imara maradufu.
Mashine ziko 2 kwenye brifcase.
Ni rahisi kuzitumia
Zinaweza kukuingizia kipato zaidi yya 100,000 kwa siku
Bei...
Je, Umefunga Solar au Backup ya umeme na inakusumbua? Basi RESCO T LIMITED imekuja na suruhisho lako.
Tunakuja kukusolvia tatizo lako kwa gharama nafuu na tunakupa ushauri wa kitaalamu na...
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.