Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Salaam wakuu. Fundi wa kunyoa nywele anahitajika Lyunga Mbeya. Yeyote mwenye utayari nicheki PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, M MGENI humu japo nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbali mbali kutoka kwa wanachama mbali mbali. nina swali kama kuna mtu au kampuni inayouza mashine za kufungia katoni (MF katoni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu, tafadhali mwenye updated prices za hizi pikipiki Boxer au TVS Engine CC. 125 kwasababu nimatumizi naomba anisaidie nataka kununua mojawapo mwisho wa mwezi na kwa hali ya Tanzania...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nauza laptop Sony Vaio yenye hard disk storage GB 500 Ram 4gb Inafanya kazi fresh Shida yake: Ina shida ya case imekatika na baadhi ya keyboard buttons hazifanyi kazi, hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibu upate viwanja vilivyopimwa Karibu na fukwe ya bahari Kigamboni Eneo: Bamba beach (Gezaulole) Umbali: Mita 100 kutoka bahari I Umbali: Km 16 kutoka Ferry Bei: 32000 kwa mita mraba Malipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanadau nina wheel chair mpya kabisa haijatumika naiuza kwa sh 250,000 Na pia nauza blood preasur monitor mpya kabisa 100,000 kama unauhitaji nicheck tufanye biashara sent from toyota Allex
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za humu? Nina ulezi tani zaidi ya ishirini, natafuta mnunuzi wa uhakika kutoka mikoa ya Arusha, Mwanza au Kilimanjaro. Kama una nia ya kununua nipm tufanye biashara. Hakuna bei fixed, ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza iphone 7G rangi nyeusi yenye Gibi 32 imetumika. Inatatizo moja ya hom buttun haifanyi kazi! Bei Tsh400,000 Kingereza Hi I am selling my used iphone 7G 32Gb black color, it has only one...
2 Reactions
6 Replies
905 Views
Hello! Nauza iPhone yangu ambayo nimeitumia kwa miez 3 tu hadi sasa hivi, kila kitu kipo, hadi box, earphone, charger. Battery life ni 100% Hii ni zile iphone original sio copy za bei nafuu afu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mida, Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kiwanja kipo Goba Mpakni kina ukubwa wa sqm 1000 yani 40 × 25 bei ni ml 20 kimepimwa ila hakina hati muuzaji ana dharura hivyo hata kama una nusu bei mnaweza kuandikishana then ukamalizia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji camera used ila isiwe used sana Canon D1200 au Nikon na TV inch 32 LG. Camera nina ofa ya 5k Tv nina ofa ya 35k Dondoka nawe na ofa yako ila kitu kiwe kizima maana najuwa kukagua.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
mzigo mpya kabisa huo haujawahi kutumika kwa 200k utaupata nichek 0738832919 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
656 Views
KARIBU MDAU *KUSAJILI KAMPUNI -Limited, -Partneship, -Business Name, * ANNUAL RETURN - Brela *KUANDAA - HESABU ZA KAMPUNI /KODI -MEMORANDUM -BUSINESS PLAN/PROJECT, -BUSINESS PROFILE *...
0 Reactions
3 Replies
727 Views
Habari wadau wa JF! Kuna Mzigo huu hapa matata upo sokoni: Fuso:Bei Tsh 7500 ($32,700) Engine 6D16 Distance 258,300km Displacement 7540kms Vibali vyote vipo, mzigo upo Dar Es Salaam.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nililipia miezi sita ya kodi kuanzia January-June Tsh 900,000 kodi ya miezi 6 nilitakiwa kuhamishiwa Mwanza hivyo hakuna kuhamishwa tena nyumba iko Mwanza Nyakato National ni vyumba viwili, Kimoja...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari wakuu natumaini wazima npo mbeya mjini nahitaji kiwanja kwaajili ya makazi kiwe kimepimwa na hati,sqm 750+,kuwe na maji na umeme..ngependelea zaidi iwambi mpya ( upande wa maghorof) bajeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Wengi wetu tunaofanya kazi zakuajiriwa au hata biashara tunatambua kwamba kuna wakati mambo yanakuwa magumu. Katika kipindi hiki tunajikuta tunakuwa na stress (Sonona na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu maduka gani hapa Dar naweza nikapata saa classic na quality kama vile swiss, rado, IWC ambazo ni classic na quality.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom