Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Pikipiki Inauzwa Aina Sanlg iko Shinyanga Bei 1850,000/= Imetumika 7 month tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sanitizer zinapatikana jumla tu Bei rahisi sana Tshs 4000 Ukichukua nyingi bei inashuka Mawasiliano: 0652472486 Ongeza la hii bei limetokana na uhaba wa ethanol sokoni Ukichukua nyingi sana bei...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau, Nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
habari wana bodi. Nauliza mahindi ya njano naweza kupata kwa nani na yanauzwa bei gani? Niko singida mjini nayatafuta tafadhali
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu habari! Naomba anayefahamu hiki kifaa cha kuitwa automatic soap dispenser anisaidie niweze kukipata, au Kama unauza Basi tujulishane. Hiki kifaa ni automatic kwa ajili ya kunawa mikono...
1 Reactions
0 Replies
683 Views
Available a 20ft Container with document. In Dar Es Salaam, Tanzania. Use this no. 0783547184; Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari. Ofisi za MOAN TANZANIA zinatoa fursa kwa vijana wakike na wamama wanaopenda kujifunza USINDIKAJI ili kuwa huru kiuchumi. BIDHAA HIZO NI PILIPILI, UNGA LISHE NA VIUNGO VYA CHAKULA MAHALI...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Habari ya humu ndani jamani, Natafuta chumba kimoja self Morogoro, nina uhitaji mno kwa dalali na ambae mwenye nyumba naomba tuwasiliane. Natanguliza shukrani
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau Kutokana na janga tulilonalo Tumeanzisha business ya movie delivery Tunasambaza movie za aina zote(kasoro za kibongo) maofisini na majumbani But conditions for delivery ni...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Habari wana JF. Naomba mnisaidia sehemu ya kupata miche/mbegu za minazi za muda mfupi. Pia, ni vyema nikafahamu bei zake Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wale wale Najidakia store sasa jipatie ice cream machine kwa bei ya punguzo million mbili na laki tano tu Uwezo wake zaidi ya Lita 200 kwa siku ni kibiashara kwelikweli utapewa ushauri kama ni...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Wale wale bingwa wa mjini kuuza vitu used wanakuletea vitu vifuatavyo FRIJI ZIPO MBILI KUBWA 295,000 NDOGO 200,000 DESKTOP HDD 500 RAM 2GB PROCESSOR DUO CORE 320,000 ZIPO MBILI hizi desktop...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, Nahitaji App developer ambae ana uwezo wa kutengeneza simple, functional news app. Kama wewe ndiye ninaemtafuta basi nicheki DM. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Kama ulikua na ndoto ya kumiliki Blogs,Personal Website au Portfolio kwa kuonyesha kazi zako Mbali mbali ila ulikua hujui jinsi ya kuanza au umekutana na watu waliokutajia gharama kubwa Solution...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
SOLD OUT.
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Hizi ni papai za kisasa, papai za muda mfupi. Miche inaanza kutoa papai ndani ya miezi sita(6) hadi tisa(9) Mti Mmoja Wa Mpapai Una Uwezo Wa Kutoa Matunda 80 kwa msimu. Heka moja ya papai...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji paypal account inapokea na kutoa pesa kupitia Mpesa (safaricom) unapata na line ya safaricom iliyounganishwa nayo. Tuwasiliane: 0758593165
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji king'amuzi cha Startimes cha antenna naremote yake vyote viwe vinafanyakazi vzr . Anaeuza anicheki no 0786570530
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nimachine inatumia umeme imeagizwa Japan inafanya kazi masaa 24 muhitaji anitafute kwa mawasiliano 0656122225, nipo Dar bei yake ni 800,000 tu...
1 Reactions
4 Replies
13K Views
Back
Top Bottom