Hlw wana jf, natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa nafasi ya uhai, mimi ni kijana mkulima wa papai za kisasa mbegu ya karina na malkia miche 400 shamba lipo Tanita Kibaha.
Kwa mawasiliano...
Waungwani habari zenu,
Napenda kuchukua fulsa hii kuwajulisha ya kwamba tumeandaa safari ya kitalii katika mbuga ya Ruaha ambayo ndio mbuga kubwa kuliko zote nchini.
Safari itaanzia pale Mlimani...
Ni fundi bingwa Majiko ya Gass Kwa tatizo lolote tupigie +255715673024 huduma ni popote ulipo Kwa Dar es salaam na Dodoma fundi atakufata hadi lilipo jiko lako whatsap online muda wote uliza...
Nauza Redmi Note 7 Blue.
Brand New Sealed and straight From Xiaomi
Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage)
ROM ni 64GB
RAM 6 GB
6.3'' inch display
Line...
Habari zenu wakuu,
Nina shamba la mpunga Nzega vijijini, nategemea kuanza kuvuna mwezi wa tano.
Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Tabora naomba tuwasiliane tufanye kazi...
Habari wana JF
Kwa mtu yoyote ambaye yupo Liwale please natafuta nyumba ya kupanga ya kifamilia, iwe standard 2 rooms (1 master na 1 kawaida) sitting room na jiko.
Anaefahamu please ani-PM
Sent...
Ibn kimweri enterprises
Una bidhaa ya chakula au viungio vya chakula unahangaika kupata soko la uhakika karibia kwetu tukuuzie kwa haraka
Tunapokea kazi zote za kudeliver
Tunapatikana Arusha...
Ibn Kimweri Eterprises
Una bidhaa ya chakula au viungio vya chakula unahangaika kupata soko la uhakika karibia kwetu tukuuzie kwa haraka?
Tunapokea kazi zoote za ku-deliver
Tunapatikana Arusha...
Pop staa Miley Cyrus ametoa Condom zake mpya zilizopewa jina 'She Is Coming' zikiwa miongoni mwa vitu vitakavyo uzwa wakati wa mauzo ya album yake mpya 'She Is Miley Cyrus'. Ukinunua Condom moja...
Sio zile za kutumia na kutupa (disposable hizi unatumia kwa muda mrefu.
Kama mko organised kiofisi, nyumba ama maskani tucheki.
Kwenye boksi zinakaa 20 bei ni 150K.
0769509430
Tupo Makumbusho...
Habari, Ndugu zangu Mimi na magunia ya mahindi yapo 6500 ninaomba kwa ambae anajua sehem mahindi yalipo na Bei nzr .
Ntashukuru Sana na Kama ikiwezekana mawasiliano yao niyapate ntashukuru sana
Habari wadau wa JF, natafuta mtu wa kuwa supplier wangu wa maembe kwa jumla, maembe ni kwa ajili ya juice hivyo yawe matamu (yenye sukari nyingi).
Kwa anaefahamu mtu tuwasiliane 0756958798.
Lipo Mkoa wa Pwani,
Wilaya, Mkuranga.
Kata, Vikindu
Kijiji, Kisemvule.
Kitongoji, Mpera.
Nyumba lilikuwa hasa kwaajiri ya makazi mana lina appartment 2, .….....ukubwa wa eneo mita 40 kwa 40...
Habari wadau wa Generator,
Nauza Generator niliagiza Japan bado Liko vizuri sana, hp 1500 KVA 1.5 Sababu ya kuliuza nimeagiza kubwa zaidi ya hili kama unalitaka changamka dukani bei yake ni 2m...
Habari wananzengo. Ninahitaji banda la kukodisha la kufugia kuku wa kisasa. Ninataka kuanza na kuku 300 na kuendelea.
Banda liwe na vifaa au bila vifaa. Ninahitaji kwa maeneo ya Dar es Salaam...
Habari!
Nauza Dell Desktop:
Processor: Duo
HDD: 320GB
RAM: 2GB
Bei: 230,000 Tshs.
Location: Kibaha, Picha ya Ndege
Mawasiliano: 0752647796
Imetumika miezi miwili tuu, ina movies, nyimbo na mazaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.