Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana Jf sisi ni kampuni ya ukodishaji wa magari aina tofauti, na huwa tunawakodishia makampuni kwa muda kuanzia miezi sita hadi mwaka na sio chini ya hapo. Bei ya ukodishaji wa gari moja...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Processsor 2.26 Intel Core Duo Memory 2GB 1067 MHz DDR3 (unaweza ongeza) HDD 350 USED MAELEZOZAIDI Model Name: MacBook Model Identifier: MacBook6,1 Processor Name: Intel Core 2 Duo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunaunda mashine za kutotoreshea mayai ya ndege mfano bata,kuku,kanga n.k Pia kwa wanao hitaji mashine kubwa kwa ajili ya kutotoresha kwa kiwango kikubwa tunaunda kwa bei nafuu Kwa ambao pia...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Kama kuna vifaa vibovu tuavitengeneza na vitapona tena Vifaa hivyo ni Power ampifier Music Booster Power Inveter Power Stabilizer Driver machine Power supply Timers Controls Digital and analogy...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
KWA MAHITAJI YA KUUNDIWA INVETER AU BOOSTER ZA MUZIKI WA NJE NA MATUKIO WASILIANA NASI. AINA ZA INVERTER SQUARE WAVE INVETER 1. Watt 300 Tsh 150,000/- 2. Watt 500 Tsh 200,000/- 3. Watt 1000 Tsh...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi all member, Nimefanya utafiti wangu simple kwa ajili ya kujua biashara gani na weza kuingia na biashara hiyo ikawa na opportunity ya kukua (growth) kulingana na wateja niliowakusudia (target...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Natafuta kiwanja morogoro mjini bei m1 kama unacho nitafute kwa 0789240930 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napatikana Kagera Ngara. Bajeti yangu 350k. Mwenye kua nayo niPM.
0 Reactions
4 Replies
751 Views
Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natumai mmpo wazima wote, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Kuna nafasi 1 kwa fundi cherehani anaye tafuta sehemu ya kufanyia kazi. Sehemu ipo Buhongwa, ni garment ambapo kuna kaa mafundi 6...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza vifaa mbali mbali vya mziki na studio(used) Yamaha keyboard psr 443 = 450,000 bass Gitaa (ibanez sound) = 350,000 Studio mic (Tockstar) = 270,000 Studio Speaker (Alessis New)= 1,100,000...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wale wote wanaohamia na kuanza maisha jijini Arusha, na pia kwa wenyeji ambao mnahitaji/mnatafuta CHUMBA, FREM ZA BIASHARA, NYUMBA NA VIWANJA, nitafute kwa huduma hizi. 0715365934/0784321716...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
**UPDATE: Nashukuru nyumba imepatikana, Shukran kwa JF nimeweza kuokoa Sh 200,000 ambazo ningemlipa dalali.** Kichwa cha habari chahusika. Iwe karibu na barabara, iwe mazingira rafiki kwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2020. Nia x-2 headphones -zina equalizer -zina beat 3d base -zina FM mode -SD card reader -zinakaa na charge 7 hours mpak 9 Free delivery kwa Dar es salaam 0683484606 Bei inapungua. Sent using...
0 Reactions
6 Replies
831 Views
Habari za leo, Nina vifaa vya kazi ya car painting na body work, Yani compressor ikiwa na pipe yake,na mitungi ya gasi na pipe na mikono ya kuungia. Niliwanunulia watu wafanyie kazi lakini...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach) Bahari ya Hindi. Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kuelewa naweza kununua injini ipi ikatulia vzr kwenye Toyota RAV4 j twin cam 3s G.E, ya uingereza cio japan, gari naipenda sana ivyo nataka nibadili injini niweke yenye Cc angalau...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari apo juu. Mimi ni mdau mkubwa wa mazoezi hasa ya kutanua misuli ,, gym.. but nimekuwa sina muendelezo mzuri wa mazoezi kutokana na kubwana na majukumu ya kikazi, hivyo...
2 Reactions
33 Replies
16K Views
Back
Top Bottom