Habari za weekend wana jf
Nauza kabati la viombo bei rahisi, limetumika ila bado lipo katika ubora wake. (Kama ni service maybe kubadilisha kapeti tu)
Ni la mbao ila limenakshiwa tu kwa rangi...
Nauza kabati ya mbao inafaa kwa biashara kama ya vitafunwa, vipodozi,chips n.k
Nimeitengeneza na kuitumia kwa miezi 3 tu.Utabadili kioo cha juu kimepasuka.
Nauza elfu 35 tu,niliitengeneza kwa...
KABATI NA UBAO WA KUTUNDIKIA NGUO
Lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao umekatwa katikati Tsh 100000 maelewano yapo
Nipo dar mbez bich...
Wasiliana...
Habari wana JF
Naomba kupata maelekezo jinsi ya kuanza kufanya biashara ya kununua perfume na manukato kutoka Zanzibar na kuuza Dar. mwenye kujua au uzoefu anielekeze maduka ya manukato na...
Wanajamii naomba ushauri wa biashara ya matairi yaliotumika kutoka ulaya yaani used ni bei gani kwa Tanzania kwani kwa mwenye kujua wenzetu watu wa Afrika magharibi wao wanaingiza kwao sijui...
TOYOTA LANDCRUISER
STATION WAGON
COLOUR- GREY
YEAR- 2008 [emoji91]
CC- 2690
ENGINE NO- 2TR
PETROL
K/m- 85
New tyres
FULL DOCUMENT
MILLION 31
Call number 0717436363.
Sent using Jamii Forums...
Papai za Kisasa za mda mfupi
Kilimanjaro
Tunauza miche ya papai (Malkia F1). Hii ni mipapai ya kisasa toka Taiwan.
Mipapai hii uweka matunda ikiwa na urefu usiozidi mita moja toka ardhini.
Kila...
Ni matumaini yangu mwenyezi mungu anawabariki katika shughuli zenu..!!
wataalam natafuta mtu anayeuza galatone(gitaa/ acoustic guitar) lenye fret board nyembamba, anayeuza seriously basi naomba...
Gari iko vizuri na Haina tatizo lolote
Haijawahi kufunguliwa engine
Ac inafanya kazi vizuri
Ni automatic
6 cylinder
Petrol
Gari iko dar kigamboni
Bei ni Milioni 3
Karibu 0763969066 nikuuzie...
Nyumba kubwa yenye vyumba vinne,sebule kubwa,dining,veranda,jiko,jiko lingine la nje na kijumba kidogo cha pembeni. Iko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 70 kwa mita 35.Iko vijibweni dar.Bei ni...
CARER OPPORTUNITY at
Ibra Dream Financial Services Company;
Ibra Dream financial Services Company is looking an experienced administration officer, sales and Marketing officer personnel to join...
Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge.
Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka...
Nahitaji mtu ambaye ni IT na anaweza kunifundisha nikaiva nikawa programmer nikawa na uwezo wa kutengeneza programme mbalimbali,kutengeneza website,application na kuziweka playstore,games na java...
Nyumba iko mtaa mzuri na iko karibu na barabara
Vyumba 4 Kati ya hivyo 2 ni self-contained
Na kuna nyumba ndogo ya vyumba 2 kwa ajili ya wafanyakazi na wageni
Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 1200
Bei...
Computer HP full kila kitu, haina tatizo lolote kabisaa.
Monitor Hp RAM 4.00 Gb
HDDs 232
Process Intel (R) Core (TM) Duo CPU E8500@3.16 GHz 3.17 GHz
OFA ya Tsh 370,000 unaona ilivyonyooka...
Nahitaji PC tajwa hapo juu kwa yeyote anaeuza
>Ofa yangu ni 400,000tsh
>Isiwe na betri mbovu
>Iwe angalau core i 5
>Kuanzia generation ya 5 n kuendelea
CONTACT:
0756908809
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.