Vyumba vitatu chumba master dining room public toilet jiko stoo na sitting room pia umeme maji tires window full A/C na kwa mhitaji piga simu kwa maelezo zaidi
Simu ""'' 07 10 75 15 76
WhatsApp""...
Jipatie MKOPO WA KIWANJA kwa muda wa Miezi 12. Bei hizi ni kwa kila mita moja ya mraba. Viwanja vipo;
[emoji830]GOBA KULANGWA - 32,000/=
[emoji830]GOBA KULANGWA 'B' - 30,000/=
[emoji830]GOBA...
Habari wana jukwaa.. Kuna kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Kiharaka Bagamoyo, ni baada ya Bunju au Mbweni. Ni eneo endelevu kwa sasa lenye Umeme tayari na mchakato wa majo ya DAWASCO.
Kinaukubwa wa...
Nauza shamba nimepanda papai eka 1 na nusu,
Ukubwa wa shamba eka 5 maji yapo mengi, shamba lipo wilaya kisarawe njia ya chanika mwisho, shamba nimeng'oa visiki shamba zima, kuna kibanda cha bati...
Tunatafuta Shule ya kununua. Sifa.
1. Iwe ina usajili.
2. Iwe DSM
3. Ekari tatu
4. Uwanjwa wa kuchezea.
Kama unamfahamu mmiliki au taasisi inayouza shule tuwasiliane kwa namba 0753502373 .
Sent...
Taarifa njema kwa wale wote wenye viwanda, mashime za kusaga na kukoboa, na wale wote wanaohitaji mazao mengi kila mwezi, wiki au mwaka, sasa unaweza kupata kirahisi. Kama unanhitaji kuuza au...
JE WAJUA KUWA SIO KILA NGUO LAZIMA UPELEKE KWA FUNDI KUREKEBISHIWA?SHONA MWENYEWE KWA MASHINE HII.
yenye ukubwa wa _Stepler pin machine_ ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa...
Nyumba ina vyumba vitatu chumba master public toilet, dining room, stoo, jiko na sitting room kubwa pia umeme maji gypsum safi, tiles
Kwa mahitaji piga simu kwa maelezo zaidi
BEI: Milioni 120...
Kiwanja chenye ukubwa wa eka 7,050 kinauzwa Ituha jijini Mbeya, Tshs.140m. Kiwanja hiki kina hati.Kipo barabarani
Kwa mawasiliano, wasiliana nami kwa simu namba 0754060350,0716252818.
Nyote...
Wakuu
Kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Ituha Mbeya mjini, kiwanja kina ukubwa wa 14.8m to 13.4m, kipo karibu na soko na huduma zote muhimu zinapatikana karibu kabisa.
Bei ya kiwanja ni 3M ila...
#VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
#DINING ROOM
#PUBLIC TOILET
#JIKO NA STOO
# SITTING ROOM KUBWA
PIA INA SEHEMU KUBWA YA KUPAKI GARI PIGA SIMU KWA MAELEZO
SIMU 06 84 23 03 99
WHATSAPP 06 25 43 38 99...
Cc 1450
Milage:139988 km
Seats:5
Warranty ipo
Mawasiliano: 0752156818 au 0734139324
GARI IPO MOROGORO NA INAFIKA POPOTE TANZANIA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari wadau.
Natafuta heater ya kukausha Mazao ya bahari ambayo inaweza ongeza joto kutoka normal room temperature mpaka 150 degree centigrade au zaidi kwa muda was angalau dak 15.
Ukubwa wa...
Mimi ni supplier, ninauwezo wa kuzalisha kuku 400 kwa wiki.
Natafuta wanunuzi, nitaingia nae mkataba nitakua namuuzia kuku kwa bei ya chini ukilinganisha na bei iliyopo sokoni.
(Mfano, kama...
Habari Jamiiforms,
Natafuta mashine za kukamua juisi za matunda, Mashine nazotafuta si zile ndogo nataka ambazo zitazalisha kwa haraka zinazotumia umeme.
karibuni kwa michango yenu
Sent using...
Natumia mashine ya kulala nahitaji graphic card zinazo fit hapa znaitwa low profile nataka size yoyote ile ata iwe mb 512 sawa yan yoyote ila iwe low profile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.