Kupitia mtandao wetu wa e-sokoni sasa unaweza kuwa unatumiwa taarifa za masoko na tenda mbai mbali za mazao kwa njia ya ujumbe mfupi. Hapa utakuwa unatimwa kila zinapojiri bei za mazao sokoni...
Tunatengeneza furniture bora, imara na za kisasa kwa bei na fuu. furniture kama kabati, Dressing table, Daining table, stend za TV, kabati za jikoni, kabati za tukani, vitanda aina zote na flem za...
Je? Umefunga Solar au Backup ya umeme na inakusumbua? Basi RESCO T LIMITED imekuja na suruhisho lako.
Tunakuja kukusolvia tatizo lako kwa gharama nafuu na tunakupa ushauri wa kitaalamu na...
Nawasalimu watu wote, baada ya salam nijielekeze kweny kichwa cha habari kama kinavojieleza, Lina uzwa duka la vipodoz lipo mitaa ya Segerea stendi duka lina makabati 2 ya ukutani kwa ajili ya...
Hali ya nyumba:
* nyumba ina vyumba vitatu ( kimoja Ni master bedroom( self contained))
*nyumba ina public toilet and bathroom humohumo.
* Nyumba ina sitting room, dining room,jiko na store...
Ujenzi wa nyumba yako unaweza kuwa wa kisasa kwa kutumia Fundi wako mwenyewe huku akipata USHAURI WA KITAALAMU kutoka kwa MR NYUMBA. benefits za mr Nyumba Ni nyingi kwa nyumba yako, Fundi na kwako...
Ninauza 4g smart kitoch ya tigo ina miezi miwili toka niinunue nipo dodoma kwa anaeitaji aje pm lkn bei ni 25000 kumbuka nauza sababu ninashida simu ni nzima haina tatizo lolote. Karibuni
KABATI NA UBAO WA KUTUNDIKIA NGUO
Lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao umekatwa katikati Tsh 100000, maelewano yapo
Nipo Dar Mbezi Beach
Wasiliana...
Viwanja vipo Kisesa Mwanza, Vimeshapimwa na vina subiri utengenezaji wa hatimiliki ambapo mnunuzi ndo atakuwa wa kwanza kutengeneza katika kiwanja husika
Bei ni million 2.7 kwa kila kimmoja
Eneo...
Hello wadau wa JamiiForums
Nina shida na ng'ombe wazuri wa maziwa wenye uwezo wa kutoa lita 20 za maziwa kwa siku kwa ng'ombe mmoja. Naomba msaada wa kujuzwa nitapata wapi. Pia nina uhitaji wa...
Nahitaji chumba Dodoma kuanzia maeneo ya chuo cha mipango (miyuji) mpaka usawa wa mnadani, bajeti yangu ni 50000 naweza kulipa mpaka miezi mitatu kwa kuanzia, ikiwezekana ainisha na sifa za chumba...
Techint/Technical Intelligence;
Katika istilahi za kiusalama neno Techint humaanisha intelijensia ya silaha na vifaa vingine vya kivita vinavyotumiwa na nchi zingine. Ili taifa moja liweze...
TECNO POP 2F FOR SALE.
16GB ROM
8MP Front camera with flash
Face unlock
Fingerprint sensor, 12month warrant
Almost new, imetumika muda mfupi
P'se call 0653233987, 0767686874
Habari zenu wana JF!
Natafuta wafugaji wa kuku wa mayai ili wawe wananilanguzia mayai na kwenda kuuzia wauza chips na mahotelini. Naombeni ushirikiano nimeamua nianze upya baada ya kuandika ule...
Nahitaji chumba cha kupanga kuanzia maeneo ya chuo cha mipango mpaka mnadani bajeti 50000-60000,ikiwezekana ainisha na sifa za chumba hapa,natanguliza shukrani🙏
Dagaa wa matafuta kutoka ZIWA VICTORIA,TUPO MWANZA mikoani tunasafirisha buree kabsa .
Mawasiliano yetu.
0755213580 Au whattsapp 0755213580.
Kiasi kikubwa na kidogo tunauza..
Karibu sana mteja...
Habari za leo wakulima!
Naomba mwenye mbwa wadogo kwa ajili ya ulinzi shambani anipe contacts zake nina uhitaji wa hao mbwa shambani kwangu.
Nashukuru sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.