Flat Tv kampuni la solarmax inauzwa laki mbili na 20 tu inchi 24 ipo vizuri ina mwezi mmoja tu
Ipo mbezi beach 0684777906
Au 0762612213
Pia ipo dstv bila dish elfu 35 tu
Sent using Jamii Forums...
Habari za jioni wakuu, mbele yenu ni kijana mfanya biashara wa nguo mbalimbali za kiume tazama baadhi kwa picha hapo chini.
Bei zetu ni nafuu Sana
T.shirts kwa 17000 tu.
Mashati kwa 18000 tu...
Hii inawahusu mamista woooote wenye
IST
Subaru
Vitz
Noah
Rav4
Harrier
BMW
Vanguard
Swift
Na mengine mengi (yote)
Bei ni 250,000 tu (pamoja na ufundi)
Tupo mobile, tunafika popote ndani ya jiji...
Unahitaji kufungua kampuni au biashara nchini Tanzania?
Karibu VA Business Consultants tunatoa huduma za kusajili kampuni, jina la biashara, nembo za biashara (trade marks) na kutoa ushauri wa...
storage 32gb
ram 2gb
water drop display
triple camera 16 mp (kamera tatu za nyuma)
selfie 8mp
battery zaidi ya masaa 10 data on
full glass body
fingerprint
4g support two sim card
and many good...
Nauza vifaa mbali mbali vya studio na mziki
1. Yamaha keyboard psr 440:
(inapiga flash)
*price 450,000*
2. Bass Gitaaa
*Price 350,000*
3. Studio mic
*280,000*
Location Dar es salaam...
Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada.
Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko...
Habari ndugu zangu..
Kuna kiwanja kinauzwa,kipo MLANDIZI-KIBAHA PWANI
Kiwanja kina Miguu 30 kwa 25.
Kipo mjini kabisa..umeme na maji yapo karibu sana.
Kama unaswali zaidi kuhusu Bei ya...
Kabati lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao Tsh 100000 zipo 2
maelewano yapo
Nipo dar mbez bich...
Wasiliana nasi Partager sur WhatsApp
Sent using...
Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo...
Kama umekuwa na shauku ya kufuga lakini unakwama katika utengenezaji wa banda zuri na LA kisasa kwa ajili ya mifugo yako.
Basi usiwaze sana katika hilo unaweza nitafuta nikakusaidia, kukusanifia...
Tuna ofa ya laptop mpya kwa Africa, used in u.S.A, bei zipo ofa toka laki 4 kwa wikiendi hii tunauza laki 3 tu. Sifa zake: hard disc 320GB, RAM 4GB, ina camera, 3 hours battery na inasupport wifi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.