Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wana JF. Napenda Kuwa julisha Kuwa sasa tumefungua ofisi kwa ajili ya kusafirisha mizigo na vifurushi kwenda mahali popote Tanzania kuokea mbeya.. Tunasafirisha mizigo kutoka mkoani...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO.... Nauza mbegu za chia Chia seeds kwa bei rahisi Kama ifuatavyo: Kuanzia kilo 31 - 1000, Tsh 4000@kilo Kuanzia 21-30 , Tsh 4500@kilo Kuanzia 11-20,5000@ kilo Kuanzia...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habarini wapendwa. JF kwa wafugaji wa kuku wa nyama na mayai nauza cages za kufugia kuku wa mayai na kuku wa nyama hizi cages ni imara na za kisasa cage moja ni laki tano na hamsin(550000) kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Viwanja vinauzwa bei poa Mapinga Kibosha. vipo Viwanja Vitatu ukubwa wake 40*40 kila Kiwanja. Umeme upo. Hapajapimwa. Taratibu zote za Kisheria zitafatwa ikiwemo Serikali ya Kijiji. Bei ni...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau, Yeyote mwenye kijiko cha kupakilia mchanga kwenye malori, ipo kazi hapa kwetu Misugusugu, Kibaha. Kazi itadumu kwa miezi miwili au zaidi kwa kupakilia eka mbili au zaidi za mchanga, kina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je, Kuna Uwezekano Wa Kupata Hekta 2500 ( Ekari 5,000 ) Kwa Pamoja - Zinazouzwa, Mkoa Wa Pwani ?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia. Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natafuta watu wanaofanya biashara ya mchele sehemu za miji tuweze kufanya biashara ya mchele kama tunaweza kukubaliana niwe nakununulia kutoka kwa wakulima na kuukoboa pamoja na kuugrade na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Je Unaitaji Mahindi Au Mchele Kutoka Morogoro ? Mahindi Safi Kabisa Kutoka Morogoro Mziha Na Kilindi Tanga Yanapatikana Kwa Bei Nafuuu , Vilevile Mchele Super Kutoka Mukindo , Dakawa , Turiani (...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu mambo vipi nahitaji google playstore account mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175 au 0788542891
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kampuni ya webtechnology ya kariakoo, wanakuletea ofa kabambe kwa wewe mfanyabiashara unayetaka kununua machine ya receipt EFD. Sasa ukitaka machine huna haja ya kulipa laki 8 yote unaweza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naulizia bei yakiwanja cha nyumba ya kuishi ndan ya mji wa singida au hata Puma na bei zake,najipanga kuja huko kwasababu za nasaba
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Sina mengi Sana ya kuwachosha nahamia dar nikaanze maisha kwa bahati Mbaya sijui Bei za vyumba vya kuishi na Bei za frame za biashara. Mwenye uzoefu wa Bei aje anipe Bei zake ili niendelee...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
*Kiwanja kinauzwa* , kipo eneo la MANISPAA YA MOROGORO, KATA YA KIHONDA, MTAA WA NGUVU KAZI, KIMEPIMWA SQ 800M , sawa na Urefu hatua 40 upana Hatua 20. *Bei SHS. 3.5M* , Kipo umbali wa 1.5km...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mm ni fundi pancha napatikana mbagara dar natafta mtu wa kushirikiana nae kufanya biashara ya oil za magar na pikipk na tyre service ofisi center nishapata na mtungi ninao na ninauzoefu wakutosha...
1 Reactions
2 Replies
655 Views
Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 30 Maeneo yamejengeka sana na majirani wako vzr sana Bei 27m Maongezi zaidi wasiliana nami kwa 0756060183
1 Reactions
13 Replies
3K Views
☑ Meno kuuma. ☑Fizi kuvimba ☑Meno kuoza ☑Meno kutoboka ☑Harufu mbaya/ganzi ☑Dawa hii inasadia kukausha vidonda na majeraha ya kuungua au kujikata. ☑Pia inag'arisha meno yenye rangi rangi au suka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama Tangazo lilivyo hapo juu nipo tayari kuwasambazia wateja wangu mafuta ya alizet kwa ujazo wa lita tano ikiwa na ubora mzuri kwa wale mliowahi kutumia fresh oil singida ndio hiyo bei ni...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Bei 290000, ina miezi mitatu tu, ukitaka unapata box na charger yake. Bei haipungui
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Back
Top Bottom