Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tecno camon c9 Internal 16gb Ram 2gb 4g 13 megapixel Front & Back Used 1month 275, 000 tshs. 0716880022
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu imetumika miezi 3, Ina fingerprint, Ina support 4G, sim 1 inatumia voda pekee,sim 2 inatumia laini zote Location: mbezi dsm 0766732341 Bei ni laki moja tu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ipo Chato, Krbn.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za masaji kwa bei ya Tsh 15000 tu..Huduma inapatikana mliman city na ukihitaji kufuatwa Nyumbani kwa wagonjwa au wasiokuwa na muda tunakufata na gharama itakuwa elf 20 tu.kwa wenye...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Njoo nikuuzie tecno camon C9 ambayo niliinunua dukani(receip yake ipo) , naitumia mimi mwenyewe pia haina Tatizo lolote na haijawah kufika kwa fundi. Specifications za simu Camera mbele na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sasa nahitaji vitu viwili tu. Nataka kununua mashine ya kusaga chakula cha kuku,naomba msaada, hizi zina tofauti na mashine zingine za kawaida? Nitapata wapi hasa mashine hii,bei yake ni ipi kwa...
0 Reactions
18 Replies
18K Views
*Mugumu Stationery* ✅Tunatoa huduma za Photocopy na Printing kwa bei nafuu kabisa.👇🏾 👉🏾 *Photocopy kwa Tsh 30/-* 👉🏾 *Printing kwa Tsh 200/-* 📌 _Tunapatikana Tarime Mjini, Barabara ya kuelekea...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Kuna shamba linauzwa Lina mikorosho ndani yake,lipo kimanzichana wilaya a MKURANGA mkoa WA pwani .bei ni milioni kumi na zipo ekari kumi. Mawasiliano Njoo pm.
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Gari ni ya mwaka 2005, bado iko kwenye hali nzr imetunzwa. Bei 8.5m Maongezi zaidi au kuiona tafadhali tuwasiliane kwa 0756060183
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eneo lina ukubwa wa heka moja.lipo goba kabla ya kufika Goba center,mita 300 kutoka kwenye lami na km 4 kutoka Bagamoyo road. Bei kwa eneo lote 180m Na pia tumeligawanya kwa plot 4 kila plot 50m...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Haloooo hii stesheni ni moto wa kuotea mbali wakuu, ni mwendo wa ngoma kali mwanzo mwisho, mchanganyiko na ngoma kibao za zamani hasa bongofleva, itafute utafrahi. Clouds, wasafi tupa kule.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta gari ya kununua aina ya IST namba D mil 6 aliyonayo aje DM Au anipigie +255789702863 ANGALIZO: Tangazo limekamilika usije na sound kama ni dalali utajua utafanyaje kwenye mchakato wako.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
inauzwa inasaidia mtu iphone ya icloud atoe motherboard 16GB bei 150k maelewano[emoji1541] Arusha 0762717113
1 Reactions
4 Replies
839 Views
BIDHAA HALISI KATIKA UHALISIA [emoji1371] Ubuyu mtamu sana kutoka Zanzibar Babu Issa [emoji1371] Njoo ujibebee Ndoo ya ubuyu iliyojaaa + Pakti 1 ya ubuyu BUREE [emoji1371] Ubuyu huu unapatikana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
KUKU AINA: Broiler (Nyama wa kisasa) UMRI: wiki 7 UZITO: (range) kilo 2.1 mpaka 2.5 HALI: wazima, hawajachinjwa wala kunyonyolewa MAHALI: Dodoma Mjini BEI: 7000 (non-negotiable) Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KAMATA FRIDGE JIPYA NA LAKISASA AMBALO ALICHULUZISHI MAJI AKUNA MAMBO YAKUPIGA DEKI PINDI UMEME UNAPOKATIKA NA YAKO NA COOLPACK NDANI INAYOTUNZA UBARIDI PINDI UMEME UNAPOKATIKA KWA MASAA ZAIDI YA...
2 Reactions
13 Replies
12K Views
Bei 16000 Tu, size 40-45 tunapatikana kimara mwisho, popote unaletewa WhatsApp 0769635970
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu Mwenye kujua fundi wa uhakika wa AC za subaru kwa mkoa wa Dar es Salaam naomba tusaidiane wakuu. Natanguliza shukrani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Mimi nimeanza na kujishughulisha na uuzaji wa kuku wa kienyeji katika soko moja huku kanda ya ziwa(SHINYANGA). Sina mda mrefu sana tangu nianze.soko liko vizuri lakin changamoto...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Back
Top Bottom