Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
RiceBac ni kiua magugu kitumikacho kuangamiza magugu ya aina mbalimbali katika zao la mpunga. Wasiliana nasi kwa maelezo ya kutumia na namna ya kuipata mahali ulipo. 0755325442
2 Reactions
30 Replies
17K Views
Nauza mota ya mashine ya umeme pamoja na vinu vya kusaga na kukoboa, mashine ipo kwenye ubora wake na haijawai kutumika,bei ni maelewano ipo :songea, msamala kwa maelezo zaidi njoo pm nitakupa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Do you have a company or business? Did you know that Submitting your business to the reliable business directory will help you excel to new heights of success, improve awareness and company...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAM 2GB Inch 13 Inakaa na chaji zaidi ya masaa matatu Portable Location; MWANZA Price; Fixed 250k
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Haya sasa wakina dada au wakina mama mnaopenda urembo...nawatambulisha kipodozi bora na salama cha macho inatwa Insta-lift eye gel. Kama mnavyojua uzee unaanzia kwenye macho, kwa afya ya macho...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Niko Arusha Nahitaji subwoofer used, iwe na bluetooth, budget yangu ni 80k, kama unayo ni PM tafadhari
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Wadau nauza mayai ya kisasa nipo Mwanza mjini kwa anaehitaji anichek kwa namba 0756 654525 bei ni sh.9,000 kwa trei
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari GT! Je Ni wapi ninaweza kupata Aquarium water pump kwa Dar. NB. Nimeshindwa ku up load picha
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Follow page yangu ya instagram JEICYJOYCE kujifunza kupaka makeup
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inapatikana Kibaha kwa mfipa (2km kutoka Morogoro road) MAELEZO: nyumba ina vyumba vinne (4) vyote ni self-contained. Ina sebule, jiko, store na public toilet. Eneo la kiwanja ni sqm 2000...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Mbagala, Tuangoma nk.. Iwe na vyumba 3 au zaidi iwe nzima au upande wa kujitegemea, iwe na maji na umeme na karibu na barabara na huduma za kijamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Chaneli hiyo inapatikana kuanzia kifurushi cha bomba 19,000 tu. DSTV inogile
1 Reactions
22 Replies
4K Views
KWA UJENZI BORA WA GHARAMA NAFUU MAHALI POPOTE TANZANIA Kwenye Picha Chini ni Moja ya Kazi Zetu Tuna Project Nyingi za Ujenzi Katika Mikoa Mbalimbali TANZANIA. Tupigie kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Njopekafarm tunauza mbegu za nanasi na matunda aina zote ,Eka moja unaweza panda miche elfu tano unavuna baada ya mwaka mmoja au mmoja na nusu pia utavuna kwa miaka mitatu mfululizo tambua miche...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari nauza kinga'muzi changu bei poa sh 35000 tu kipo kwenye hali nzuri kabisa Nina shida ya haraka location dar kitunda no yangu 0743482722
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana nina mzigo wa shea butter kutoka West and East africa iliyosindikwa na virgin haijachanganywa na kitu chochote ( pure ) tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Habari wanafamilia wa JF....mimi ni mfanyabiashara wa dawa ya kilimo iitwayo SUPERGRO ambaye nina mpango mkakati wa kuzunguka katika mikoa tofauti kwa wakulima Sasa basi, nachoomba ni kujua...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
INFINIX HOT 6 AU HOT 6 PRO INAHITAJIKA 120k Moshi/arusha Inahitajika infinix hot 6 au hata hot 6 pro iwe katika hali nzuri Budget yangu ni 120k Uwe moshi au arusha Nichek watssap tu 0759 432 654...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Back
Top Bottom