Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jaman admin wa JF nashindwa kujibu comment maana ombi langu lipo pendin OK, natoa ufafanuzi kuhusu royal kwamba ukisajili lain ya royal bundle ya Halotel unapata dakika 120 kupg simu mitandao...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
As Salaam alaykum Ninatafuta kiwanja kikubwa huko Lushoto eneo la Shume lakini bei nzuri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Nauza Laptop aina ya ACER Extensa 5620Z. Nilikuwa nikiitumia sana kwa shughuli za kuchapia kazi za Microsoft Office. Kwa kuwa ina storage ndogo, naiuza ili hiyo hela niongezee nikanunue...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Meza ft 3*4 Godoro lina hali nzuri halijapoteza ubora wake Kitanda ni cha mbao na kipo vizuri Vinapatikana Mkwawa Iringa
0 Reactions
6 Replies
925 Views
Napatikana Mkoani Geita,Wilaya ya Mbogwe,Masumbwe Namba yangu ya simu ni 0712946988
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks Tupo Busweru, Mwanza tunasafirisha kwenda...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahtaj godoro lenye hali nzur, nina 70k, Dar
0 Reactions
10 Replies
927 Views
LEO NI MWENDO WA KUGAWA OFFER TU Haya sasa chagua earphone moja kati ya hizo kwa bei ya 6000 tu na free delivery kwa arusha leo Mwisho wa offer ni leo jipatie kwa elfu 6 tu Zina bass na sauti...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello....okay, baada ya maombi ya marafiki zangu wengi wa mbeya ambao wanajiandaa katika ukulima wa mpunga na wanataka kutumia SUPERGRO kwa matokeo mazuri nimeamua kuweka matumuzi yake hapa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza microwave brand hisense 20 litres, brand new kabisa, bei ya offer 120,000...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa mwenye simu tajwa hapo juu tuwasiliane nna shida nayo sana nimeimiss tu kuitumia 0622525942
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni non hosted account ina balance $0.92 ,address bado haijawa verified.Kwa wanaohitaji PM please kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninahitaji Simu used aina ya huawei yenye fingerprint ipost hapa au njoo inbox ukiwa na model, picha yake na bei
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Madali na wasio madalali naomba mnisaidie kunitafutia mahali pa kupanga hapa jiji Dar maeneo tajwa hapo juu. Bei iwe kuanzia 15-20 ila umeme uwepo pia... Mwenye kujua basi anifate PM nitaongea...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kuna Shamba linauzwa hekari 2 lipo Moshi, Uchira linauzwa Million 5 kilometer 1 toka barabara kubwa ya lami Mweje uhitaji apige simu no 0652971495 au anicheki PM.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza Commercial Deep Fryer Inatumika kukaangia Chips,samaki,kuku,stake etc Imetumika mwezi mmoja tu Bei 120,000/-
0 Reactions
1 Replies
1K Views
karibu tukuagizie gari kutoka japan, dubai, singapore na uk kwa gharama nafuu kabisa. tupo magomeni mapipa DSM mkabala na kituo cha mwendokasi mapipa, jengo la RUBEYA ghorofa ya kwanza. kwa...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Wakuu habari zenu? Nahitaji mtu aniazime 2.5M tu. Nakurudishia 3.5M before or within 5 months (before or on 29th Feb 2020). Nisipoweza uchukue kiwanja changu chenye thamani ya zaidi ya 7.5M...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu kuna ndugu yangu anatakufungua Butcher ya kisasa Mkoani. Ameniagiza nimtafutie vifaa kwa ajili ya ofisi yake hiyo mpya kwa hapa Dar. Nadhani vifaa kama machine ya kukatia nyama, mizani ya...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom