Tunatoa huduma ya Ushauri kwa Kampuni au watu binafsi wanaojihusisha na Uchimbaji na Uchenjuaji wa madini (mining and mineral processing). Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na...
Habari Wakuu!
JF ni mahali ambapo kuna kila aina ya watu wenye shughuli mbalimbali ktk jamii, leo nipo hapa kwa ajili ya wale ambao wana uhitaji wa biti za Gospel, hususani kwa Makanisa ambayo...
GREAT THINKERS!
Salaam!
Naheshimu sana uwezo mkubwa wa member wa JF katika kudadisi na kuchambua mambo kwa upana wake, watu wanaowaza nje ya box.
kwangu JF ni shule kamili
Acha niende kwenye...
Nahitaji hiyo mashine used kwa aliyenae. Nipo mtwara,watu wa mtwara na maeneo ya mtwara nawapa kipaumbele zaidi kwakuwa ninaweza kufika ulipo nikaucheki mzigo. Natanguliza shukrani
Bandugu, nina mpangon wa kununua Honda Cr-V Ls ya mwaka 1998 kutoka kwa mtu. Sina uzoefu na aina hii ya gari. Kwa yeyote mwenye kujua kwa undani review. Ushauri tafadhali.
Thanx
hello guys,, naomba kumpata dalali wa mazao ya kilimo kwa masoko ya dar au dodoma tufanye biashara,,, nije na mzigo (viazi mviringo).
aliye tayari karibu pm,,,
Plot ipo ununio ni ya pili kutoka Lami, size 2500sqm
Na pia ndani kuna nyumba ya vyumba 3 self ingawa ni mjengo wa mda kidogo na pia kuna mabanda ya mifugo kuku na Ng'ombe
Bei 165m
Maongezi...
Kiwanja kipo Nyanshishi Mwanza, mita 500 kutoka kituo cha daladala Nyanshishi zinazofanya safar ya kwenda maeneo mbalimbali ya kona ya jiji la Mwanza.
Kimeshapimwa na kinasubiri kutengenezewa...
Niko Arusha
Nauza Ram 4GB DDR3 (Samsung planet first,Made in philippines) kwa ajili ya Laptop iko poa kabisa katika hali nzuri na ifanya kazi poa kabisa bei ni Tsh.37000 maongezi yapo nicheki...
OFA YA VIWANJA KARIBU NA LAMI
Viwanja viwili vilivyopimwa kwa bei ya ofa
MAHALI ; Nala chinangali
UMBALI TOKA CITY CENTRE MPAKA KWENYE ENEO ; 15km
UMBALI TOKA BARABARA KUU YA LAMI(SINGIDA...
Nakuuzia kitanda na godoro (5 kwa 6) kwa ghrama nafuu kabisa na rafiki kwako ndugu mteja.
Kitanda na godoro lake nimetumia mwenyewe kwa muda wa miezi mitatu tu.
Hutojutia kupata mzigo kutoka...
Javet wedding accessories ni duka linalo husika na uuzaji wa kadi za mwaliko wa sherehe mbalimbali harusi, send off, mchango. Kwa mawasiliano tupigie simu 0715267277
Nauza laptop hp probook core i3 @2.40GHZ 2.40 GHZ ram ni 4GB haddisk ni Gb 250 BEI NI LAKI NNE BETRY MASAA MAWALILaptop ipo kwenye hali nzur sana
Mawasiliano
0719590756
Wapendwa wafugaji kanda ya nyanda za juu kusini, tumewaletea mashine za kuangulia mayai ya ndege aina zote, mashine za kisasa kabisa na zenye ufanisi mkubwa (full automatic) AC/DC (umeme wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji laptop nzuri yenye kufanya kazi vizuri....
tuma details zako..
Nina 200K...nyongeza tunaweza ongea.
kiwanja kinauzwa kipo (Nyamhongoro) Mwanza
kina ukubwa wa 480sqm
(20×24)
kiko umbal wa km 2.5 kutoka eneo la stand mpya inayojengwa
Bei ni 3.5m
Mawasailiano : 0764634423
0785788647
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.