Habari wakuu!
Naomba ambaye ana ESCUDO ya 1999
1590cc, Rangi nyeusi, usajiri B, au.C
Bei maelewano!!
KWA UJUMLA IWE NA HALI NZURI.
Natanguliza shukuruna zangu.
habari za mida wadau naomba kufahamu sehemu gani naweza kupata nguo za mtumba kwa wale wanaofungua mabelo hasa hasa nguo za watoto na mashuka Luna MTU kaniambia mlango mmoja lakini hawafungui...
PATA TAIRI KUBWA ZA SCANI SAIZ 12
PATA TAIRI KUBWA ZA SCANIA SAIZ 12 = 315/80 TUNAPATIKANA MKOA WA DARESALAAM NA TUNA HUDUMA YA KUKULETEA POPOTE ULIPO (DERIVERY SERVICE) JIVUNIE TAIRI BORA KWA...
Heshima kwenu wakuu. Mwenyezi Mungu amenisaidia nimepata kazi Tanga hivyo yeyote anaefaham au anaweza nisaidia kupata nyumba maeneo ya Kange karibia na stendi mpya ya Mkoa asisite kunifahamisha...
Piga 0658184797
Tupo Kinondoni mwanamboka pembeni ya kituo cha mwendokas mwanamboka upande wa barabara ambao magari yanaenda Magomen yakitokea moroco
Nauza kwa order tu so Ukihitaji tuwasiliane
Habari za Jioni Wakuu,
Ni Matumaini Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Pirika zenu za Kila siku. Nna Hitaji Mtu wa kuniuzia (supplier) wa mayai ya kuku wa Kisasa Kuanzia Trays 50 na Kuendelea...
Wadau musimu wa kilimo ndio huu unawadia, nauza miche ya komamanga na mdalasini. Miche hii inafaa kupanda kwenye nyumba zetu pia.
Bei ya mdalasini ni Shilingi 5000 na komamanga ni shilingi 3000...
Hello. Katika kila ngazi kuanzia ya kifamilia hadi kitaifa, kijana ni mtu muhimu sana. Kwanza kwa sababu ni umri wa mtu mwenye nguvu na pili ni umri wa kufanya maamuzi sahihi ili baadae uzeeni...
Habari jf
Nauza gari aina ya IST BEI 10.8M..gari ipo Upanga. Zifuatazo ni sifa zake
Plate namba DDP
MILEAGE 69152
COLOUR -GREY
IMENUNULIWA 2015
DUTY INAISHIA 2020
CC 1200
06843 108 66
WAKUU BANDO KONKI ZA TIGO NA HALOTEL NICHEKI PM KAMA UNATAKA KUUNGANISHWA.
1. TIGO
Pata dakika 1000 tigo-tigo, 70 all net ,na Gb 10 kwa mwezi. 19000Tsh.
Gb 48 kila mwezi unapewa 4Gb kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.