Tawa Water Proffesional
ni kampuni inayojishughulisha na uchimbaji wa visima vya maji safi na salama pamoja na ufanyaji wa underground water survey... Pia tunatoa huduna zingine zihusuzo masuala...
Nanua gallstones zinakua kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 30000. Robo kilo million 6. Nusu kilo million 12 kilo moja million 24. Nicheck kwa 0713302846
Ninauza mashine ya kusaga, kukoboa pamoja na diesel engine yake bei milion 2.5 negotiatable...mashine zipo Mwanza mkolani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muda mrefu sana nimekua nikitafuta mahali pa kupublish ama kuchapa kitabu changu kwa hapa Tanzania.
Natafuta wachapishaji (publishers)wazuri wa vitabu,nimeandika kitabu cha hadithi.
Naomba...
Nauza simu yangu ya ulefone s1 nauzia tu shida jamani nimeitumia mwezi haina tatizo lolote
Key Features
Brand – Ulefone
Model – S1
Device Type – Android 3G Smartphone
CPU – Quad-Core 1.3GHz ARM...
VIWANJA VILIVYOPIMWA KWA MAKAZI na BIASHARA VINAUZWA《BAGAMOYO,TEGETA na KIGAMBONI》
☆Tegeta Wazo Hill plots available Tsh 25,000 per Sqm......6 km from main road
☆Vikawe plots available Tsh...
Habari wakuu..
Nauza king'amuzi cha startimes cha zamani, pamoja na remote yake 45000.. Bila remote 35000...
0765 050591..
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yangu, Ni gari aina ya MAZDA ATENZA SPORT WAGON, sijawahi kununua gari, nikisoma kwenye mitandao sielewi maana nakuta gari hiyohiyo moja ya mwaka huohuo yenye kilomita hazitofautiani sana...
Naitaji kubadilishana na mtu yoyote iphone kwa Laptop na hela kiasi; Mimi nakupa iphone 6Plus 64GB wewe utanipa Laptop na kiasi cha pesa. Kiasi cha pesa kitategemea na Specifications na hali ya...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
Habari waheshimiwa,
Nyumba ipo Dodoma maeneo ya Mipango imepakana na Chuo cha Madini,Unapanda Daladala moja mpaka mjini hakuna ulazima wa kupanda bodaboda kutoka nyumbani
-Ina vyumba viwili self...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.